Vimbwanga vya kutafuta mke safari ya ugenini

Ama Kweli wewe Yakobo katika Nyumba ya Labaniii

Ila dada mtu nae jasiriiii sana
NI JASIRI Sana sana,,,,,wala hujakosea
Ukiangalia kwa jicho la tatu...kila kitu kwenye hii dunia Mungu ndiye anayepanga........
Ndiyo maana nawashauri vijana kwenye kuoa wasiumize vichwa.....MKE NI MUNGU NDIYE ANAYETOA......
NI JASIRI Kwenye kila kitu........na kimsingi tumevuka nae kwenye hali ngumu sana katika hii dunia......kuna wakati tulifulia sana sana,,,mpaka tukawa tunauza gongo nyumbani.......na POLISI akawa anapambana nao...
 
wamama wa kirombo wapambanaji kwakweli......... so Siri Noah Scribe
 
Mbona umeishia njiani bwana Yakobo 😹
NItaendelea kuna kipengele chumba nilichopanga mama mwenye nyumba akaanza visa....sababu nae alikuwa na mabinti na kabla sijamleta huyu mrombo wao ndio walikuwa wanafaidi mkaa na mazaga ya safari.........Hapo ndipo nilishuhudia duniani kuna uchawi ....wachawi...na washirikina na walogaji tena wazi wazi......
 
Uliamua kumpenda hivo hivo? Ila wababa wa humu kwa mitungi 😜😜😜
 
Kabisa..... bila yeye leo nisingalikuwa hapa.....nimeona mifano mingi kwa wenzangu....hasa wenye wanawake wa kwenda ngomani na kupaka kucha rangi...
Mama zangu naelewa sana wana madhaifu mengi lkn kwenye ku hustle.... wako vyedii....

Kwenda na bajeti muhimu πŸ˜‚........

Maisha yanaweza shuka ghafla lkn wanakomaa till ze end..... japo so wote Ila wengi ni wavumilivu hasa

I crowned five star to them
 
Mkuu umenitia moyo sana kwa kauli yako hii

MKE MUNGU NDIYE ANAYETOA!

Kuna hoja fulani, watu husema kwa kuwa Adam alipewa Hawa na Mungu, na Pindo walivyotinganya Eden

Na Adam kumwambia Mungu kuwa ni kwa Sababu ya mwanamke uliyenipa!

Basi kuanzia hapo Mungu hatoi mke, japo sikubaliani nalo hili.

Katika Maisha ya sisi vijana kumpata mwanamke mvumilivu katika Hali zote ni nadra sana.

Nina amini katika kila ndoa haijalishi ni Bora kiasi Gani! Lakini Kuna miaka 7 za mema na miaka 7 ya ukame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…