Vimto kutoka Saudia ni kinywaji bora kama utaweza jaribu kunywa hutajuta

Musoma miaka hiyo kulikuwa na vimto ya chupa sijui kama ndio hiyo unayoizungumzia
 
Nilikuwa nawaza hili neno vimto nimelisikia wapi siku za karibuni..baada ya kugoogle nikagundua kumbe azam group na wao wana soda zinaitwa vimto sasa sijajua ladha ni zilezile au ndio copycatting kama kawaida
 

Attachments

  • images - 2022-07-12T192804.156.jpeg
    20.2 KB · Views: 49
Zilikuwa zinatengenezwa zamani hapa Tanzania na kiwanda cha mhindi mmoja akiitwa Viran. Kusema kweli kwangu ni kinywaji kizuri sana. Ukiinywa ya baridi wakati wa joto la Dar unapata burudani ya aina yake.
Kipindi hicho Uto walikuwa wanavaa jersy zilizoandikwa "Vimto"
 
Vimto waliwahi kua na kiwanda pale Musoma miaka ya 1993-96

Ilikua ni soda tamu kuliko soda zote
 
Eti sidhani kama zilikua zinafika mikoani[emoji1787][emoji1787]wabongo bhana, kwa taarifa yako kiwanda kilikuaga Musoma Mara
 
Eti sidhani kama zilikua zinafika mikoani[emoji1787][emoji1787]wabongo bhana, kwa taarifa yako kiwanda kilikuaga Musoma Mara
Unadandia kitu ambacho hata hujaelewa. Unajua maana ya ''sijui''? Vimto za Dar zilikuwa zinatengenezwa na kiwanda cha Viran, ambaye alikuwa mfadhili wa Yanga miaka hiyo! Kama alikuwa na kiwanda kingine huko ungesema bila kebehi za kijinga. Ama kama kulikuwa na kiwanda kingine ni kiasi cha kusema. Mbona kuna mtu member amechangia vizuri tu kusema hata Tanga kulikuwa na kiwanda na zilikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…