Unadandia kitu ambacho hata hujaelewa. Unajua maana ya ''sijui''? Vimto za Dar zilikuwa zinatengenezwa na kiwanda cha Viran, ambaye alikuwa mfadhili wa Yanga miaka hiyo! Kama alikuwa na kiwanda kingine huko ungesema bila kebehi za kijinga. Ama kama kulikuwa na kiwanda kingine ni kiasi cha kusema. Mbona kuna mtu member amechangia vizuri tu kusema hata Tanga kulikuwa na kiwanda na zilikuwepo?