Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
labda ufafanue ni nchi ipi na nikichaa kweli wa kuokota makopo au ni wale wanaoigiza ukichaa pindi mambo yanapokuwa magumuKwenye ukichaa yupo mmoja nchi fulani barani Afrika
Ingependeza angeainishwa mkuu hapa tunapenda kujifunza nawasilishaKwenye ukichaa yupo mmoja nchi fulani barani Afrika
Valentine Stressor kama sijakosea.Kuna nchi ya Liberia rais wake anakunywa chang'aa siku hizi
huyo huyo kubababake zake asante kwa kunikumbusha huyu jamaa kawa ombaomba aiseeeValentine Stressor kama sijakosea.
changaa hii si ni ya wakenyaKuna nchi ya Liberia rais wake anakunywa chang'aa siku hizi
Usijenge mazoea ya kukalili kuwa kuna watu wasiojulikana kuna wakati unaweza tokewa hata na wazungu wawili wageniMh! watu wasiojulikana wameshamaliza likizo yao.
Hao wazungu watapita wapi na ugeni wao hapa darMleta uzi tadhali jifiche, nawaona wazungu waleeee wanakunyatia waku "dabe"
Hivi wewe MARWA J MERENGO home kwenu siyo masurura kweli!!wanabodi,
Naomba nijuzwe tangu nchi zetu za kiafrika zipatiwe huu Uhuru wa Bendera tulio nao hivi sasa kweli kuna kiongozi wa nchi yoyote katika bara hili la Africa aliyewahi kupatwa na haya matukio ya kiuswahili uswahili yanayotutokea sisi RAIA wa daraja la tatu
Matatizo kama ukichaa,maralia kupanda kichwani,kuugua degedege,kupandisha mashetani nk.
Tafadhali naomba lugha ya sitaa itumike katika uchangiaji kwenye hii Thread
Lakini rais wa Liberia si ni mwanasoka mstaafu George weahValentine Stressor kama sijakosea.
Kwani humu jf hakuna wengine wa masururaHivi wewe MARWA J MERENGO home kwenu siyo masurura kweli!!
kuna shule za msingi za vichaa wakishafaulu huwa wanaenda wapi? je sio kweli kuwa wapo hata PhD holders vichaa?labda ufafanue ni nchi ipi na nikichaa kweli wa kuokota makopo au ni wale wanaoigiza ukichaa pindi mambo yanapokuwa magumu
Yes, the current one.Lakini rais wa Liberia si ni mwanasoka mstaafu George weah
Pamoja sana mkuu, nafikiri hapajawahi kutokea mkuu wa nchi kwa maana ya rais Africa mwenye umri mdogo kama wake by that time mpaka sasa.huyo huyo kubababake zake asante kwa kunikumbusha huyu jamaa kawa ombaomba aiseee
Huyo dogo alinyakua urais akiwa na miaka 25 kwa nguvu za kijeshi na ni wa Sierra Leone na alikaa madarakani kwa muda mfupi sana kabla na yeye kupinduliwa na kama sijakosea aliingia madarakani 1992 na kupinduliwa 1996 kwa sasa haeleweki maisha yakeValentine Stressor kama sijakosea.
Kwa hiyo mishezake ni za kina chidi benziHuyo dogo alinyakua urais akiwa na miaka 25 kwa nguvu za kijeshi na ni wa Sierra Leone na alikaa madarakani kwa muda mfupi sana kabla na yeye kupinduliwa na kama sijakosea aliingia madarakani 1992 na kupinduliwa 1996 kwa sasa haeleweki maisha yake