Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
wanabodi,
Naomba nijuzwe tangu nchi zetu za kiafrika zipatiwe huu Uhuru wa Bendera tulio nao hivi sasa kweli kuna kiongozi wa nchi yoyote katika bara hili la Africa aliyewahi kupatwa na haya matukio ya kiuswahili uswahili yanayotutokea sisi RAIA wa daraja la tatu
Matatizo kama ukichaa,maralia kupanda kichwani,kuugua degedege,kupandisha mashetani nk.
Tafadhali naomba lugha ya sitaa itumike katika uchangiaji kwenye hii Thread