Vingozi wa nchi waliokumbana na mazito

Vingozi wa nchi waliokumbana na mazito

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,512
Reaction score
6,882
wanabodi,
Naomba nijuzwe tangu nchi zetu za kiafrika zipatiwe huu Uhuru wa Bendera tulio nao hivi sasa kweli kuna kiongozi wa nchi yoyote katika bara hili la Africa aliyewahi kupatwa na haya matukio ya kiuswahili uswahili yanayotutokea sisi RAIA wa daraja la tatu

Matatizo kama ukichaa,maralia kupanda kichwani,kuugua degedege,kupandisha mashetani nk.

Tafadhali naomba lugha ya sitaa itumike katika uchangiaji kwenye hii Thread
 
Hivi wewe MARWA J MERENGO home kwenu siyo masurura kweli!!
 
Valentine Stressor kama sijakosea.
Huyo dogo alinyakua urais akiwa na miaka 25 kwa nguvu za kijeshi na ni wa Sierra Leone na alikaa madarakani kwa muda mfupi sana kabla na yeye kupinduliwa na kama sijakosea aliingia madarakani 1992 na kupinduliwa 1996 kwa sasa haeleweki maisha yake
 
Kwa hiyo mishezake ni za kina chidi benzi
 
Back
Top Bottom