Vinicius Junior Vs Ducapel Moloko, Nani Winga Mkali

Niliwahi kusema humu kuwa kama utakufa kwa stress na JF ipo itakuwa ni kujitakia.

Yaani mtu anafananisha Mbingu na Ardhi 😁😁🙌
 
Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.
Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido.
Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
Aisee, balaa hii.
 
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana

Nimeamini punyeto inaharibu akili. Sio Kwa mawazo haya.
 
Moloko hata waongo tu wanampita winga gani hata beki mmoja kumtoka hawezi
 
choko wa kubanza na mabreach hadi afike level ya Dunia sio Leo.
 
WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.MAKOLO
WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO KWA KILA NAMNA ILA LEO TUTAENDA KUWAONESHA YANGA NI NANI.
EWE MWANANCHI TEMBEA KIFUA MBELE KWANI LEO NDIO TUNAENDA KUINGIA FAINALI RASMI.
LEO MADUNDUKA YATALILIA CHOONI.
 
Back
Top Bottom