Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
mbona kama vile unasahihisha mtihani!Very Good
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama vile unasahihisha mtihani!Very Good
Aisee, balaa hii.Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.
Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido.
Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
Teh teh teh 😂😂 dah!..Mimi mikimbio ya Moloko tu ndiyo huwa inaniacha hoi. Kuhusu kumlinganisha na Vini Jr, sitashiriki dhambi hii.
Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.
Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido.
Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
Nimeamini punyeto inaharibu akili. Sio Kwa mawazo haya.Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.
Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido.
Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
Kenge KibuNaona mmeanza ku-unajisi mpira sasa kenge nyie.
That is a fact, I seconded ur opinion SirTuache utani Moloko anajua aisee
hahaha kibu aliyemdungua mdaka mishale au kibu yupi mkuu?Kenge Kibu
Kibu diiiihahaha kibu aliyemdungua mdaka mishale au kibu yupi mkuu?