Vinyago/midoli vina roho

si hivyo tu,hata haya mapicha tunayobandika ukutani katika nyumba zetu sio mazuri,nilikuwa na shemeji yangu anasumbuliwa na majini kila masheikh wakija kumwombea anapona wakiondoka tu yanarudi,kuna siku akaja sheikh mmoja kumsomea dua alivyoona sebule imejaa mapicha akaomba picha zote ziondolewe kwanza,zilipoondolewa zile picha,akaanza kusoma dua yale majini yakaanza kulalamika kuwa yameondolewa maficho yao
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kuna huu mtindo wa kuchora mapicha ya ajabu kwenye kumbi za starehe.... Ukifika usiku huwashwa taa za kufifia na mziki mnene.. Basi majini wachafu na maruhani wote huhamia hapo
 
hii bila hata kuuliza inaonesha kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dini yangu tu hairuhusu kukaa na picha, sanamu au kinyago cha mfano wa kiumbe hai kilichoumbwa na Mungu.
 
Kuna hii midoli kama huu, ubavu wangu alienda huko Egypt akarudi nao kama souvenir, ni mzito ni wa chuma flan hivi na alama ya nyoka hapo juu. niliambiwa sijui ni Pharaoh. Tatizo upo chumbani kwetu tena juu ya kabati oposite na kitanda, kila tukilala unatuangalia. Sasa mimi huwa unanikosesha amani kabisa kila nikiuangalia nakosa amani kabisaa ila kuutoa na kuuhamisha siwezi maana itazua ugomvi, Hapo vipi Mshana, hii ni alama tu ya kawaida ya Pharaoh kweli maana mi sina amani nao kabisa.
 

Attachments

  • images.jpg
    12.1 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…