Vinyago/midoli vina roho

This is so true. Mama angu alimwa sana ugonjwa usiojulikana yan kila mtu alijua anakufa tulihangaika hospitali lakini wapi akaanza kuwa kama anapagawa na mapepo au anachanganyikiwa hivi. Sasa akaja mchungaji kumuombea aakamuombea sana na badae akafanya maombi nyumba mzima. Pale home kulikua na picha ukutani za wanyama na picha moja ya ndugu marehemu. Mchungaji akasema baadhi ya mapicha yaondolewe yachomwe moto na pale home tulikua na paka akasema sio mzuri aondolewe akasema zile picha na yule paka wamebeba roho za kishetani zinazosumbua. Kweli bwana baada ya hapo mama akapona kabisa mpk leo hajaacha kusali amekuwa mlokole hasa
 
Nakumbuka kuna filamu ya kizungu niliangalia utotoni kuhusiana na haya mambo ya midoli ilikuwa Inatisha balaa Nikawa nikiona Midoli Naigopa hata Kuitazama, Sasa nilidhani ni Filamu tu Kumbe hii kitu ina Ukweli Flani hivi..
Every myth has foundation in reality hata mazombie yapo muulize mshana atakwambia
 
Hii ya kuweka paka na picha za wanyama wasioeleweka ndio mbaya sn hii km umeweka picha weka picha za wanyama tunaowajua km simba.chui.pundamilia lkn mambo sijui unaweka picha dragon sijui godzilla mara dainasosi aisee ni hatar hv viumbe roho zao badp zipo apa dunian kuiweka picha zao ni kukaribisha roho mm room kwangu picha zote ni za raman au wanyama wanaojulikana
 
Kuogofya perception ya ubongo km laiti mshana jr asingekwambia km vinabeba roho nakuhakikishia uo mdoli ungeuona km kopo tu sema ushaambiwa vinabeba roho lazima uogope na hapo ndipo inapoumbwa special for you lkn akija ambae hajaambiw habar za midoli atauchezea ataung'oa mpaka kichwa uo mdoli
 
Hii movie balaaa Anabelle creation dah hatari sana
 
Watoto huwa ni malaika wanaona vitu vingi akikuambia kitu mm kuna mambo niliyapna kipind niko mdogo adi leo najiuliza hv ilikuwa ni kwel au ndoto yaan ilikuwa nikipna giza linqingia tu nakosa kuna mda nalia bila ata sababu wenzangu wakawa wana tabia ikifika ucku wananiletea vitu vya ajabu kunitisha nikawa naangua kilio c cha nch hii ucku nikitundika shat au surual naona linatembea saikolojia yngu iliharibika vibaya kuna siku nilikabwa ucku na jitu nisilolijua lina manyoa nakapiga makelele mungu nisaidie nyumba nzima ikasikia
 
Nakumbuka kuna filamu ya kizungu niliangalia utotoni kuhusiana na haya mambo ya midoli ilikuwa Inatisha balaa Nikawa nikiona Midoli Naigopa hata Kuitazama, Sasa nilidhani ni Filamu tu Kumbe hii kitu ina Ukweli Flani hivi..
Ht mm niliangalia movie inaitwa Annabella yaan sithubutu kuweka midoli yyt kwangu..Na movie ya Mirror mpk leo kioo changu nakifunika na kitenge usiku asubuh naacha wazi..
 
Umeandika ukweli kwani Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anafanya kazi sehem flani. Ndani ya iyo nyumba Kuna ka mdoli kadogo tu ambacho ata mtoto wa miaka sita anakabeba.

Anaasema mwenyewe alikuwa anamuona boss amekitenga na kukizungushia maua aambapo kila asubuhi akiamka lazma akakapigie magoti.

One day sijui ilikuwaje akachomoa ka maua duh ile anatoka anarudi anakuta Bomba la jitu limesimama likiwa na sura ya ule mdori linahasira na kufanya vurugu ndani. Nisiende mbali anasema tokea aondoke siku iyo ppale hakuwahi kurudi nyuma.


Midoli na vyengine mfano wa midoli si mizuri kabisa
 
Sikia ww acha ushamba mm kila j mos lazima nichek horrow movie moja hatar hasa ucku huwa zinaleta stimu fulan hv shetan huwa anasoma akili zako akikuona muoga sidhan km utalala ila akikuona hutilii maanani na unajiamin huwa anaishiwa shetan wachaw huwa wanapenda watu waoga
 
Tulivyokuwa wadogo tukitengeneza midoli ya udongo tulikuwa tunaweka kijiti ktkt ya kichwa, tunasema isije ikadai roho.Ilikuwa kawaida sana kule kwetu.
 
Tulivyokuwa wadogo tukitengeneza midoli ya udongo tulikuwa tunaweka kijiti ktkt ya kichwa, tunasema isije ikadai roho.Ilikuwa kawaida sana kule kwetu.
Hii ilikuwa sayansi asilia muhimu yenye maana kubwa sana isiyofundishwa tena wala kuzingatiwa
 
Big up !! Kula lunch popote ulipo naja kulipia mm kuna mda nilijitia brothernen nilikuwa navaa chen ya msalaba kuna siku nikawaza nikaja gundua sio sawa hata kidogo
 
Hama tu kanisa njoo luthelan hao katoliki hawatobadilika kamwe mpaka yesu sanamu za bikra Maria ndio usiseme katungiwa mpaka sala special kwake mm nikiwa mdogo nimesoma shule za kimisionar tumesali sn hz sala na saiz sitak hata kuisikia
 
Shuhuda km hz ndio tunazitaka toa story hao washikaji walikuwa wanasemaje mnhewapa ata gwara basi yaan mmewafukuza kiroho mbaya ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…