Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

20221211_050048.jpg
 
Gallo-Roman Statue; with a removable top (1st Century CE)

MET Museum
 
Attachments

  • 20221220_112409.jpg
    20221220_112409.jpg
    46.7 KB · Views: 6
Gallo-Roman Statue; with a removable top (1st Century CE)

MET Museum
 
Hata zile katuni wanazoangalia watoto, Boomerang, Disney na zinginezo zimejaa mapepo, kwa macho ya watu Wazima tunaona ni katuni za kawaida, ila watoto wanaona ni vimtu vipo uchi wa mnyama, zjnaharibu sana watoto zile!
Upo sahihi, niliwahi kujiuliza ni kwanini mwanangu wa umri wa miezi 8 nikimuwekea katuni anakua makini sana kuangalia. Nadhani Kuna vitu sio vya kawaida huwa wanaviona
 
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...

Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!

Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.

Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.

Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....

Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Kuna mdada alihadithia kweny group la wanawake mdoli ulivokua unampa uroda.
 
Back
Top Bottom