Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli andazi la njano,linaliwa na tangoUnaenda kunyoa halafu kinyozi anakugusisha dudu lake ili iweje. Kila ukitoa mkono anaufuata.
Mimi binafsi sipendezewi na hili
Mkongo wa taifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni lugha nyepesi kwa vinyozi na abiria waliokosa viti kwenye dalala yaani waliosimama, hutumia aina hiyo hiyo ya mawasilino kuwasilisha kusudi la mioyo Yao kwa walioketi vitini hususani warembo na wao hupeleka mkongo wa taifa moja kwa moja begani kwa abiria alieketi na hapo taratibu mnara hugusa bega
na hunasa mawimbi na kumfamisha mguswa kwamba mnara tayari unatoka 3G na sasa uko H 4G. Aina hii ya mawasilino Inaitwa Body Language Movement Approach (BLMA)