Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

Sauti ya radi anatisha mweusi km usiku wa balaa sema pesa nilikuwa naichukua uku naogopa!! [emoji1787][emoji1787]
Na bahati yako hukunywa kinywaji au kurudi maana ile siku ya kwanza alikupa pesa for free ili akusogeze, next time ungeenda ungeshtuka kesho asubuhi huku ukiwa juu ya kifua cha bonge 😄
 
Kuna siku ilkua kidogo niondoke na dem wa jamaa tena kwa kutumia gari yake [emoji28][emoji28]

Ilkua hivi pale tengeru Arusha Kuna sehemu kume waka iyo siku tumeenda na jamaa yangu .tume fika tume kaa hapo tuna kunywa taratibu me na mtindo wa K vant iki kolea na weka pilipili mzuka una panda.

Sasa kuna jamaa mwigine tuli mkuta alkua ame kaa pembeni yetu yuko na pisi yake ,alivyo ona meza yetu ina vibe afu hatuna fujo waka hamia apo .while tuna kunywa mdogo mdogo ,jamaa alivyo ona nme mix pili pili akaomba ajaribu kumbe ni kichwa cha kuku .

kilicho fata ni kelele tu jamaa alkua ana ng'ang'ania bia zote anywe yeye , dem wake nae kachangamka mimi sielewi hadi na romance na dem wa jamaa ye kakimbilia counter ukoo

kufupisha ni nilkua sha ondoka nae kabisa hadi kweny gari . sijui kili tokea nini tuka zima humo humo kwenye gari kati kati ya kuchombezana . asubuhi tuna amka tuko wote plus yule jamaa na mwanangu tume lala kwenye gari hadi leo sikumbuki wala jamaa angu akumbuki tuli fikaje wote mule [emoji28][emoji28]
Hii noma sasa 😆
 
Nakumbuka nilipiga vitu baada ya kurudi home around sa 11 alfajiri nikataka nmpigie mtu nimpe maelekezo ili ni pumzike. Nikatype namba fresh kupiga sasa ikawa mziki. Sioni green icon ya kupiga instead naona + na -. Nikaona kii plus ndio yenyewe naponyeza wapi, kumbe nipo kwenye calculatorView attachment 2627609
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah
 
Hope ilikuwa ni chips kavu tu yai halikupasuliwa
😁😁Bwege wewe sio kama nililala au ilinizidia hapana sema nilikua nafanya vtuko najiamini afu kamwili kadogo nabshana na vidali saa 8 usku nikieudisha chenji ile mbaya nilitaka niondoke na malaya tena yule nngeoga kavukavu mungu n mwema demu akinikataa nakuja kuoneshwa vdeo za jana yaKe
 
Hahahah
 
Hahahahah
 
Chanzo cha yote ni pombe. Picha limeanza unarudi uko vibe kama lote kwanza nyumba unayokaa umefika kwa shida na kuna muda ulipasahau ukapata msamaria akakuleta. Kuingia ndani tu mama mwenye nyumba huyu hapa, unaanza kuongea naye unamshawishi akuongezee kodi ya nyumba.

Mikasa ya pombe ni kama bilioni 1.
 
Back
Top Bottom