DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Happy new year .
Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani.
Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies .
Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na kusoma manifesto mbali mbali ikiwemo ya Chadema , niseme tu ukweli Chadema ilani yao huwa inakuwa nzuri sana .
Ila chadema wanachokihitaji Kwa sasa na katika nyakati hizi ni zile siasa Kama za 2010-2015 chini ya Dr Slaa .
Je zilikuwa ni aina gani za siasa ?
Za Kuzungumzia maslahi ya wananchi ambayo yanawagusa moja Kwa moja wapiga kura.
Mfano
Ajira
Hali ya maisha
Miundombinu
Afya
Elimu.
Sera hizi ndo sera bora ambazo ukizungumzia mtu anajihisi unamzungumzia yeye .
Dr Slaaa alifanikiwa Sana hapa.
Lile wimbi la lowassa (RIP) it was nothing kwa wananchi Ila Kazi kubwa aliifanya Dr Slaa .
Kuzungumzia Demokrasia na Katiba Mpya ni muhimu Ila asilimia kubwa ya Watanzania Hawaelewi Demokrasia ni nini na Katiba ina umuhimu gani .
Katika kufanya Mass mobilization kaeni chini muangalie namna ya kurudisha hali za watu kuwaunga mkono Kama ilivyokuwa 2010-2015.
Wapiga kura na wafuasi wengi ili kuwafanya kuwa upande wako ni kuongelea zaidi interest zao.
I remember kupitia operation mbali mbali chini ya Dr Slaa kuna mambo Chadema ilifanikiwa Sana na ilikuwa haina haja ya kumchukua Lowassa ili kuongeza namba.
Ili mtu aweze kuandamana , kukupigia kura na kuwa mfuasi wako lazima awe na ufahamu wa kile anachopambania.
Unfortunately hauwezi ukaongelea haya mambo katika kampeni ambazo huwa zinadumu muda mfupi Sana .