Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

Ujio wa Nabii T B Joshua katika sherehe za kumuapisha Rais Magufuli jijini Dodoma ni jambo la baraka kubwa kwa taifa la Tanzania.

Kwa hakika baraka hizi siyo za kukosa nami nikiwa na mchungaji Erasto na mzee Mgaya tuko njiani kuelekea Dodoma na kwa sasa tupo hapa Kibaigwa tunapata msosi.

Karibuni uwanja wa Jamhuri mpate baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nani alimchagua?
Wewe na wewe kojoa ukalale ni aibu kusema hivyo ,hapa ni mashaka ya ubunge sio Rais maana ni wengi wamemchagua tatizo lipo kwa bunge kuwa la kijani lote.

Wewe kweli uibiwe 12.5m kwa 1.9 kha yani hata kama Magu angesema nipunguzieni kura zangu mpeni 3m za kwangu bado Lissu hashindi, tuweni wa kweli hakuna wizi wa hivyo, palipoleta hofu ni Kawe tu.
 
Wewe na wewe kojoa ukalale ni aibu kusema hivyo ,hapa ni mashaka ya ubunge sio Rais maana ni wengi wamemchagua tatizo lipo kwa bunge kuwa la kijani lote.

Wewe kweli uibiwe 12.5m kwa 1.9 kha yani hata kama Magu angesema nipunguzieni kura zangu mpeni 3m za kwangu bado Lissu hashindi, tuweni wa kweli hakuna wizi wa hivyo palipoleta hofu ni Kawe tu.
Vikwazo teyari.
 
Wewe na wewe kojoa ukalale ni aibu kusema hivyo ,hapa ni mashaka ya ubunge sio Rais maana ni wengi wamemchagua tatizo lipo kwa bunge kuwa la kijani lote .

Wewe kweli uibiwe 12.5m kwa 1.9 kha yani hata kama Magu angesema nipunguzieni kura zangu mpeni 3m za kwangu bado Lissu hashindi ,tuweni wa kweli hakuna wizi wa hivyo palipoleta hofu ni Kawe tu .
Hawa majamaa sijui Wana akli gan Tu, kuhusu uraisi Lissu kapigwa kichapo kikali mno hyo haina ubishi. Kwa macho yangu nimeshuhudia Lissu akiscore zero kwenye kutuo, af Leo mmoja anadai et kaibiwa, ukakasi upo kwenye majimbo ya ubunge tena baadhi hayazid hata 40 huko ndo kuna Kila dalili matokeo ya ubunge yalikuwa upside down, ila kwa ngazi ya uraisi hata wakirudia leo itakuwa ni aibu tu kwa Lissu.
 
Back
Top Bottom