Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Vikwazo kutoka US teyari. Source BBC SwahiliSafi Sana wageni karibuni.
Vikwazo kutoka US teyari. Source BBC SwahiliSafi Sana wageni karibuni.
Msafara Wa Kenge Mamba Wamo 😂😁😀😅😏Eti Rais wa Uganda,amealika matapeli wenzake!
Balozi wa China keshatua dom leo.Eti balozi 83 hahahaa labda ubalozi wa burundi , Zimbabwe na uganda
Poleni sana wakati mwingine msijaribu tena kuwa wanamabadiliko wa kwenye mitandao.Hao mabalozi 83 haiwezekani labda ulikusudia kusema wakuu wa mikoa 83 ya burundi na uganda.
Kwani lazima kuangalia? Channel za nje zimejaa za kusheba afu sie tupo busy na uchaguzi wa marekani vpn imetupeleka hukoItakuwa live utaona! Jiandae kwa stress mkuu!
Mmeshashindwa JIPANGENI NA UCHAGUZI UJAO na huyo mbelgiji wenu!Hakuna Rais anayeheshimu demokrasia anayeweza kuja kushuhudia kuapishwa kwa kiongozi aliyepatilana kwa njia najisi. Na hao hao Marais wa ajabu ajabu ndio wataonekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweweseka katika Ubora!Nani alimchagua?
Msiponiletea Huyu Sileti MajiUhuru kama haji arudishe tausi wetu!
Tumechoka kubembeleza.
Everyday is Saturday............................... 😎
Hilo lisikupe shida mkuu, hata Sisi tunasubiri tu wamalize uchaguzi wao tuwawekee vikwazo maana tayari washaanza kulialia Kuibiana Kura.Vikwazo kutoka US teyari.Source BBC Swahili
Swali zuri sana maana amekua akisema mabeberu wanamrudisha nyuma naamini atawapiga marufuku kabisa kuhudhuria uapisho wake wasije wakamuhujumuVipi na mabeberu na wao watakuwepo?
God damn that thug!God damn that thug!
Nchi nyingine hazina jina?Nchi nyingine duniani kuwa na viongozi ambao ni vibaka haifanyi Tanzania kuwa na kiongozi ambae ni kibaka kuwa ni sahihi.Two wrongs can't make a right!
Mbona una majonzi namna hii wakati mmeshinda?Poleni sana wakati mwingine msijaribu tena kuwa wanamabadiliko wa kwenye mitandao.
poleni.
TB Joshua ndiyo mgeni rasmi?Karibu uwanjani
Kigogo na Maria ndio kawadanganya,mzee serikali sio unavyoifikiria haifanyi kazi twiter kuna official document zinakuja kabla ya vikwazo tena utaanza kusikia matamko ya vikwazo hadharani kushinikiza jumuia ya madola iwekee vikwazo Tanzania .Vikwazo teyari.
Lete Maneno Yaliyomo YamoVikwazo kutoka US teyari.Source BBC Swahili
Haa😂🤣TB joshua ndiyo mgeni rasmi?