okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Mkuu bado nipo hapa natizama GAME la Zitto zidi ya CHAMA CHOTE CHA CHADEMA wakaskazini.Mbona una majonzi namna hii wakati mmeshinda?
Namwona Lissu Mnyika Dr slaa alishasepa.
ZITTO.
Mkuu bado nipo hapa natizama GAME la Zitto zidi ya CHAMA CHOTE CHA CHADEMA wakaskazini.Mbona una majonzi namna hii wakati mmeshinda?
God damn that thug!God damn this thug!
Mkuu TB Joshua ndiyo mgeni rasmi?Mkuu bado nipo hapa natizama GAME la Zitto zidi ya CHAMA CHOTE CHA CHADEMA wakaskazini.
Namwona Lissu Mnyika Dr slaa alishasepa.
ZITTO.
TB JOSHUA yupi huyu aliyetabiri ushindi wa LOWASSA NDANI YA UFIPA.???Mkuu TB joshua ndiyo mgeni rasmi?
Mara ya kwanza alikunja mkwanja kwa nani mkuu.Kwa mara ya pili TB JOSHUA anakunja mkwanja mrefuuuuu TANZANIA
naishia hapa.
Huyo-huyo naona mataga wote ndiyo mnamtaja kuwa ndiyo mgeni rasmi wenu wa kesho?TB JOSHUA yupi huyu aliyetabiri ushindi wa LOWASSA NDANI YA UFIPA.???
Jamaa anajua kucheza na akili za CHADEMA NA CCM.Huyo-huyo naona mataga wote ndiyo mnamtaja kuwa ndiyo mgeni rasmi wenu wa kesho?
Nyimbo hii ikiimbwa na WAJEDA mbele ya Rais huwa naona cheo Cha Urais siyo cha mzaha kwa katiba ya sasa.Bila kusahau "Naapa naahidi mbele ya wananchi Tanzania nitakulinda mpaka kufa"
Cheo cha rais ndio cheo cha mwisho kwenye taifaNyimbo hii ikiimbwa na WAJEDA mbele ya Rais huwa naona cheo Cha Urais siyo cha mzaha kwa katiba ya sasa.
Kwahiyo kwa katiba yetu Rais anamhofia Mungu pekee.Cheo cha rais ndio cheo cha mwisho kwenye taifa
Viongozi wenyewe ndiyo huyu waziri mkuu wa Burundi?
Sio level yenu yule...nyie mkae na kina Obasanjo maana ni ndege with the same.Yule sijui Bahari wa Nigeria mjinga sana