Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

Kwa hiyo atakuwepo rais wa Burundi na wengi wengi tuuu? Basi sawa.
 
Yule mtemi wa nyika za kinyarwanda bwana Poul anadharura ama.
Yule kaona huu uongo na utapeli wa Meko huku umezidi kaamua awatose

Wewe fikiria mgombea anaenda kupiga kura yeye na wana familia wake matokeo yanakuja hana kura hata moja,nani yupo tayari kumsafisha mtu wa hivyo.
 
Yumo Rais wa Uganda Dikteta Yoweri Museveni, Rais wa nchi duni ya Comoro pamoja na Rais wa nchi masikini ya Zimbabwe, nchi inayoteketea kwa vikwazo kutokana na kuminya demokrasia, vinginevyo hakuna Kiongozi yeyote anayeheshimika atakayekuwepo.

Huu ndio ukweli unaofichwa kwa malengo maalum.
 
Yumo Rais wa Uganda Dikteta Yoweri Museveni , Rais wa nchi duni ya Comoro pamoja na Rais wa nchi masikini ya Zimbabwe , nchi inayoteketea kwa vikwazo kutokana na kuminya demokrasia , vinginevyo hakuna Kiongozi yeyote anayeheshimika atakayekuwepo .

Huu ndio ukweli unaofichwa kwa malengo maalum .
Ujio wa Nabii T B Joshua ni baraka kwa taifa zima la Tanzania!
 
We jamaa si ulituaminisha kuwa Lissu lazima atangazwe kuwa raisi asipotangazwa ndo mwisho wa Tanzania, kuna wakat mwe mnafikria kidog kabla ya kupasuka , hii itapunguza aibu za hapa na pale
Huyo jamaa huwa haoni aibu, yeye anapuyanga tu.
 
We jamaa si ulituaminisha kuwa Lissu lazima atangazwe kuwa raisi asipotangazwa ndo mwisho wa Tanzania, kuna wakat mwe mnafikria kidog kabla ya kupasuka , hii itapunguza aibu za hapa na pale
Kama bado huuoni mwisho wa Tanzania hadi sasa basi unapaswa kupimwa akili
 
Tumesha wachokonoa mabeberu vya kutosha, wametupiga "ONYO" za kutosha ila tunajifanya viburi, sasa tunakaribisha "MAADUI" wa mabeberu kabisa.

Muda si mrefu watanzania akili zitatukaa sawa, si tunajifanya "wehu/vichaa/wabishi/jeuri/viburi" wa kusoma alama za nyakati.

Watanzania sio viumbe wa kuonewa huruma, acha watunyooshe tu kisawasawa.
 
Vipi na mabeberu na wao watakuwepo?
Mabalozi wote wa nchi za Ulaya, America, Asia, Middle East na Afrika walioko Tanzania watashiriki. Wote wanakubaliana na matokeo na uchaguzi ulivyofanyika.
 
Hahaaa, Ni dhihaka, eti Marais watakaohudhuria ni wa Uganda, Comoro, na Zimbabwe!!! Zote ni nchi tulizozikomboa na bado ulofa unawabinya. Marais wa nchi zinazojitambua wameshiti kuhudhuria futuhi.
 
Back
Top Bottom