Beberu kashatoa karipio kali kupitia EU, the Commonwealth, USA, Sweden, etc. etc. kwamba uchaguzi ulikuwa mchafu.Vipi na mabeberu na wao watakuwepo?
Nishamcheki kote huko hadi sasa naanza kupata wasiwasi. Mungu mbariki Mmawia.wewe ndio unanipa taarifa ya kupotea kwake , ngoja nimcheki mambosasa
Gang of hustlersEti balozi 83 hahahaa labda ubalozi wa Burundi, Zimbabwe na Uganda.
The LuciferUjio wa Nabii T B Joshua ni baraka kwa taifa zima la Tanzania!
Kenyata je??? TL alipata kusema sirikali hii imevuruga sana mahusiano na majirani zetu, sasa nimeamini maneno yake!.Kagame haji!! Katutenga au?
Kenya Corona imerudi kwa kasi!Kenya, Rwanda, South Sudan maana ni EAC? Pia nilitegemea marais wote EAC wahudhurie was wenyewe!!!!@@.
Kenyatta anadhibiti Corona nchini kwake!kenyata je??? TL alipata kusema sirikali hii imevuruga sana mahusiano na majirani zetu, sasa nimeamini maneno yake!.
Wengine ni wabunge, la saba B.Jembe linaapishwa huku mamburura yakiwaza kuandamana bila kikomo. Kweli nchi hii la Saba wengi
Kafanya nini tena?Yule sijui Bahari wa Nigeria mjinga sana
Hao Mabalozi ni wakazi wa Dodoma walipewa viwanja bure watakuwa wamehamia siku nyingi, kwa hiyo kama Wagogo wote hawawezi kupitwa na usanii huo wa kihistoria. Wageni mashughuri labda ni kina Museveni aliyepewa Tausi wetu anataka kikubwa zaidi na Mnangagwa kutubu kwa Wazimbabwe kumtukana Rais wetu mpendwa. Makamu wa Marais na Mawaziri Wakuu wa nchi zisizojulikana waje tu wasipitwe na tukio hilo adhimu. Toka Uhuru tumezoea Marais wetu wamekuwa wanaapishwa Ikulu!Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali takribani 20 wakiwemo marais watatu wa Uganda, Comoro na Zimbabwe.
Wengine ni; Makamu wa Rais wa Nchi Kadhaa na Mawaziri Wakuu wa Nchi kadhaa wakiwemo pia viongozi wengine mashuhuri kama Rais Mstaafu wa Nigeria, Olussegun Obasanjo, Nabii T. B Joshua na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar.
Aidha, amesema mabalozi 83 wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini watahudhuria.
Chanzo: HabariLeo
Kagame haji!! Katutenga au?
Alishatoka porini alipoenda kuombea corona akisema atorudi Hadi dawa ipatikane?Ujio wa Nabii T B Joshua katika sherehe za kumuapisha Rais Magufuli jijini Dodoma ni jambo la baraka kubwa kwa taifa la Tanzania.
Kwa hakika baraka hizi siyo za kukosa nami nikiwa na mchungaji Erasto na mzee Mgaya tuko njiani kuelekea Dodoma na kwa sasa tupo hapa Kibaigwa tunapata msosi.
Karibuni uwanja wa Jamhuri mpate baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Akasema mwisho wa corana tar 27 May 2020....Bado unamuamini mtu huyo ?