Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Wataitwa ngo'mbe wasio na MIKIACHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Hata cuf na nccr mageuzi waliwahi kujipa moyo hivyo hivyo..leo ni wasindikizajiCcm saizi wapo kuibongonyoa chadema
Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Ila kwa mtindo huo ccm haiwezi kuonekana ni bora.Hata cuf na nccr mageuzi waliwahi kujipa moyo hivyo hivyo..leo ni wasindikizaji
Na Mimi nabakiAtabaki Mbowe mwenyewe na itikadi zake za kupinga kila kitu
Hata mimi na wenzangu 207 hapa tunajadiliNa Mimi nabaki
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Na wale Wa arusha!?? Mjomba acha mambo ya kike kikeSiwalaumu maana wao wanataka maendeleo na kwa bahati nzuri maendeleo asilimia kubwa yanapelekwa kanda ya ziwa ikimaanisha mwanza, geita, shy town.......wacha wahame makamanda tusife moyo tuendelee na kwingine.
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Je ingekuwa kwamba ni viongozi wa CCM wamefunga ofisi na kuhamia CDM, narrative ingekuwaje?Ccm saizi wapo kuibongonyoa chadema
Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana. Ni sawa na bahari uchote ndoo 84 za maji na utegemee bahari itaisha maji.
Hapo utakuwa unajidanganya.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app