Tetesi: Viongozi 84 wa CHADEMA wilaya ya Misungwi Mwanza wafunga ofisi na kuhamia CCM

Tetesi: Viongozi 84 wa CHADEMA wilaya ya Misungwi Mwanza wafunga ofisi na kuhamia CCM

Siku chadema ikifa watanzania watajutia kuzaliwa

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
Hapana. Watanzania tutafurahia maana matapeli wa kisiasa watakuwa wameondoka na nchi ibaki na vyama vyenye malengo ya ukweli
 
Kwani shida iko wapi? Mbona wafanyakazi wote,wanajeshi,polisi, wanafunzi wote wamehamia Chadema (mioyo) na kubaki kimya kulinda maslahi yao?
Kwa taarifa hata mawaziri wengine wako Chadema. Chama cha siasa ni moyoni sio usoni, usoni ni maslahi
weweeeee!! kama ni mioyoni kwanini kura huwa hazitoshi kila uchaguzi?
 
Jakaya ndie Alikuwa Mlezi wa Chadema tangu kastaafu Chadema imekuwa Yatima
 
Sio Chadema hii mkuu.....Hii Chadema imepoteana kabisa.
Mkuu Chama sio viongozi bali ni wanachama na washabiki, viongozi wanaweza kuwa maarufu na wenye nguvu sana lakini bure tuu, na waweza kuwa dhaifu lakini wanachama na wapenzi wake wakaweza fanya maamuzi.
 
Siwalaumu maana wao wanataka maendeleo na kwa bahati nzuri maendeleo asilimia kubwa yanapelekwa kanda ya ziwa ikimaanisha mwanza, geita, shy town.......wacha wahame makamanda tusife moyo tuendelee na kwingine.

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Hoja yako ni ufilisi. kwani hao wamehama Misungwi kutoka wilaya nyingine nje ya kanda ya ziwa? au hata ingekuwa kweli kuwa maendeleo yamepelekwa kanda ya ziwa, maendeleo ya umma yanagawiwa kwa kila mtu kiasi kwamba wanapata wana CCM peke yao kiasi kwamba wanachama wa Chadema wakihame chama chao na kuhamia chama cha mapinduzi? Sasa kama maeneleo yamekwishapelekwa huko kwao kulikuwa na haja gani ya kuhama? Maana sasa kama baabara za rami, maji ya bomba, Umeme, huduma za afya, huduma za elimu (maarifa), huduma za mawasiliano. masoko ya mazao ya kilimo, viwanda, kazi vyote vimeshamiri huko kanda ya ziwa kuna haja gani ya kuhama chama? Jionoze kufikiri kwa usahihi kabla ya kuandika chochote.
 
Natangaza rasmi uchaguzi 2020 ni kati ya Watanzania dhidi ya Wasukuma
 
Chadema ndo inakua na kupata nguvu

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Hili Taifa Lina wanafiki wengi sana! Kuja kuendelea si leo wala kesho!!
 
Chadema RIP
DHAMBI YA FISADI LOWASSA HAIWEZI KUWAACHA SALAMA

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Ccm saizi wapo kuibongonyoa chadema

Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana. Ni sawa na bahari uchote ndoo 84 za maji na utegemee bahari itaisha maji.

Hapo utakuwa unajidanganya.

Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Kuuondoka kwa kiongozi wa ngazi ya kitaifa hakutikisi chama cha siasa kama kuondokewa na viongozi wa ngazi za mashina au matawi. Huko chini ndiko kwenye wanachama. Hii imedhirishwa kwa vyama vyote vya siasa ambavyo viongozi wa kitaifa wamekuwa wakihamahama ama kwa ridhaa yao wenyewe au kulazimishwa. NCCR Mageuzi, CHADEMA, na CCM ni mifano.

Kutakuwa na mtikisiko mkubwa ndani ya CHADEMA.
 
Hao wakiulizwa utasikia "Tunamuunga mkono rais"Kumbe walihamia Chadema kufuata fursa za kiuchumi,walivyoona kinyume na matarajio tuhama chama!Kumbe njaa zimewakimbiza.Ukijitambua huwezi ukuwa unayumbishwa bila hoja za msingi.Haya maigizo ya Leo Chadema kesho Ccm hayana tija kwa nchi hii.Katiba imara itayojenga mifumo imara ndiyo hoja ambayo watanzania tunatakiwa kuipigania zaidi ya hapo hakuna kitu!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Tuanze na katiba imara ndani ya vyama na kuifuata. Ifike wakati ijulikane muda ambapo mtu anatakiwa awe mwanachama kwa muda fulani hasa pale chama kinapokuwa chama kikuu cha upinzani ili kukwepa kuhamahama . wawekwe watu ambao wanajua msingi na katiba ya vyama kabla ya kuwania nafasi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani shida iko wapi? Mbona wafanyakazi wote,wanajeshi,polisi, wanafunzi wote wamehamia Chadema (mioyo) na kubaki kimya kulinda maslahi yao?
Kwa taarifa hata mawaziri wengine wako Chadema. Chama cha siasa ni moyoni sio usoni, usoni ni maslahi
Aisee nimeipenda hii hoja yako ya kujiliwaza.
 
Mkuu Chama sio viongozi bali ni wanachama na washabiki, viongozi wanaweza kuwa maarufu na wenye nguvu sana lakini bure tuu, na waweza kuwa dhaifu lakini wanachama na wapenzi wake wakaweza fanya maamuzi.
Watu wenye uelewa mdogo tu ndo atakuwa na chama ambacho kina viongozi dhaifi.kama chama kina rasilimali watu kwanini kisiweke watu makini wenye kuangalia maendeleo endelevu ya chama.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Smthng s wrong,hii njia sio Salama bora ile ya kumtengeneza adui ukiwa ndani yake kuliko kutoka
 
CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Acha waje Ccm ila wasijewakaumbuka baadae.
 
Ccm saizi wapo kuibongonyoa chadema

Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana. Ni sawa na bahari uchote ndoo 84 za maji na utegemee bahari itaisha maji.

Hapo utakuwa unajidanganya.

Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
nasikitika kusema kuwa hujui ulisemalo....poleni sana lakini!!
 
Back
Top Bottom