Tetesi: Viongozi 84 wa CHADEMA wilaya ya Misungwi Mwanza wafunga ofisi na kuhamia CCM

Tetesi: Viongozi 84 wa CHADEMA wilaya ya Misungwi Mwanza wafunga ofisi na kuhamia CCM

Kwani shida iko wapi? Mbona wafanyakazi wote,wanajeshi,polisi, wanafunzi wote wamehamia Chadema (mioyo) na kubaki kimya kulinda maslahi yao?
Kwa taarifa hata mawaziri wengine wako Chadema. Chama cha siasa ni moyoni sio usoni, usoni ni maslahi
 
Na wale Wa arusha!?? Mjomba acha mambo ya kike kike

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Shirikisha ubongo wewe k3nge maji.......unavyoona arusha na mwanza au geita wapi kunapelekwa mirandi ya maendeleo sana.

Na bado povu litawakauka Lumumba buku jero jero maana mnajikaanga kwa mafuta yenu

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
 
Kwan huwez kua chadema na ukasupport harakati za mtu wa ccm. Chama cha siasa sio dhehebu. Hao wanaohama wana yao mfyuuuuuuuuu

Mrs Van
 
Maisha magumu mimi mwenyewe nataka kuhama naombeni huo mgao. Watu wa Lumumba naombeni mniunganishe kwenye huo mgao.

NB nasikia wameambiwa kuwa zikija Noah za makinikia wataanza kugawiwa wenye kadi za kijani.

So, nami pia naomba mniambie taratibu za kupata kadi ya kijani.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Huku CCM wanaenda kutafuta walichokifuata CHADEMA na sidhani kama watakipata na wakitoka huko sijui wataenda wapi. Roho ya usaliti haitulii sehemu moja.
Wengi wanaohama wanatafuta tafuta kujaza matumbo yaliyo wazi at any cost na hii ndio shida ya siasa za nchi maskini huwa viongozi wengi watafuta uongozi kujineemesha na siyo kuwa tumikia wananchi
 
For sure upinzani Tanzania hauhitajiki. Na hatujui sababu na faida yake. Unapikuwa na Taifa ambalo watu hawawezi kufikiri ujue una Taifa mfu. Ni kama mtoto aliyezaliwa na hakulia.
 
Hao wakiulizwa utasikia "Tunamuunga mkono rais"Kumbe walihamia Chadema kufuata fursa za kiuchumi,walivyoona kinyume na matarajio tuhama chama!Kumbe njaa zimewakimbiza.Ukijitambua huwezi ukuwa unayumbishwa bila hoja za msingi.Haya maigizo ya Leo Chadema kesho Ccm hayana tija kwa nchi hii.Katiba imara itayojenga mifumo imara ndiyo hoja ambayo watanzania tunatakiwa kuipigania zaidi ya hapo hakuna kitu!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
[HASHTAG]#Wapumbavu[/HASHTAG].....By Mkapa.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka neno SIASA tafsiri yake ieleweke ngo'mbe wasiokuwa na mikia watakuwa wengi kulikoni wenye mkia.

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]miaka elfu hamisini nitaendela kuwakubali

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kubadili gia hewani. Naona nao wameamua kubadili gia hewani kwa wakati wao. Hivi hawa nao nani yupo nyuma yao? maana Arusha Joshua anatuhumiwa kuwa yupo nyuma ya mkakati
 
Hawa nao wamelipwa kama wa arusha au vp, mwenye info zaid atuwekee pls
Mgao unapita tanzania nzima. Na kwale wachumia tumbo hii ndo fursa kwao

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
Kwani shida iko wapi? Mbona wafanyakazi wote,wanajeshi,polisi, wanafunzi wote wamehamia Chadema (mioyo) na kubaki kimya kulinda maslahi yao?
Kwa taarifa hata mawaziri wengine wako Chadema. Chama cha siasa ni moyoni sio usoni, usoni ni maslahi
Sio Chadema hii mkuu.....Hii Chadema imepoteana kabisa.
 
waende salama ..
Lipumba alipewa chake akafanya alichofanya .
Wabunge ccm walipewa chao wakapitisha sheria ya uchochezi..
Hawa nao wanakula chao ili wahame..
Hata wema alikimbilia huko kukamshinda..
Wamevutiwa na chambo wakishaingia zimwi hatowaacha salama.
Kinachouma ni kodi za wananchi ndio anahongea..
Kwetu sisi kutumia pesa ili kuwagombanisha wanaume huwa ni tabia ya kishoga.

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
 
Siku chadema ikifa watanzania watajutia kuzaliwa

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom