Lufulandama
Senior Member
- Jun 6, 2017
- 187
- 175
Hao nyumbu waliokuwa na ngozi ya Mbuzi, wanaohama uwezo mdogo kifkira
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko wapi mpaka usione maendeleo ya awamu hii?Siwalaumu maana wao wanataka maendeleo na kwa bahati nzuri maendeleo asilimia kubwa yanapelekwa kanda ya ziwa ikimaanisha mwanza, geita, shy town.......wacha wahame makamanda tusife moyo tuendelee na kwingine.
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Kama kina Ngeleja sio?Chadema walitegemea nini kuwakumbatia mafisadi?
Hahahaha naona umetoa ya moyoni. Tatizo lenu hampendagi kusema ukweli au kuambiwa ukweli. Unabaki unagugumia. Sasa hivi mhe. Rais anatenda mambo ya kizalendo sana. Tumuungeni mkono. Achaneni ma wanasiasa uchwara wenye siasa za matukio.eti mtu anaibuka sijui kutoka wapi anakurupuka na kusema jamaa wa uamsho waachiwe wamekaa mno gerezani. Sass sijui yeye ndio askari au mpelelezi au vip. Ukiambiwa anahusiana na mambo ya Kibiti sijui utajificha wapi. ... tuache siasa za matukio. Dr Slaa alikuwa anajua anachofanya. Na sio hawa ambao kuna tetesi walishanunuliwa na hawajawahi kanusha....wajinga ndio waliwaoMkuu embu acha masihara tuu, tuliobaki nao ni hatari sana tuu
Inauma kiasi kwamba ukilifikiria hili kwa jicho la mbele tunakokwenda sio kuzuri kabisaaaa.
Embu fikiria ikitokea chadema ikafa, au upinzani ukafa unahisi nini kitafuata??
Raisi tulie nae kiukweli tunamuunga mkono lakini ujue kabisa ni matunda ya upinzani mkuu.
Naomba:-
Aliko Dr. Slaa aambiwe wanainchi tunanuhitaji na tumejifunza kitu asee
DR. RUDII UANZISHE HATA CHAMA KINGINE BASI KAMA CHADEMA HAWAKUTAKI
MIMI NINKAMANDA WA CHADEMA, LAKINI PENGO SLAA NALIONA LINAZIDI KUWA PANA