Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama makini kuweka viongozi ni mchakato wa kidemokrasia na una muda wake. Kiongozi mbovu akipewa madaraka basi kumtoa mchakato lazima ufuate demokrasia pia kwa muda muafaka. Kwa nyinyi vijana wa St Kayumba ni ngumu kuelewaWatu wenye uelewa mdogo tu ndo atakuwa na chama ambacho kina viongozi dhaifi.kama chama kina rasilimali watu kwanini kisiweke watu makini wenye kuangalia maendeleo endelevu ya chama.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.Mtanzania Mzalendo na mwenye uwezo wakufikiria hawezi kuendelea kuwa pamoja na hawa watu
wasaka tonge na Wanafiki.
Pongezi nyingi ziwafikie hao watu
mungu azidi kuwapa Upeo zaidi
Dodo njoo hapa mtaa wa Rwegasore...nikununulie msosi.Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
(hasa kwenye mambo ya kishirikina kama haya, ebo!)
Huo upinzani unajifia wenyewe tu manake wameshapotezana vibaya sana, wakati wenzao wa CCM wanajenga nchi wao wapo busy kupambana kibinafsi na JPM.Na bado mtachanganyikiwa sana hadi mtakua mnafunga magoli kwenye goli lenu wenyeweIla kwa mtindo huo ccm haiwezi kuonekana ni bora.
Kwa kutegemea kuua vyama vya upinzani. ccm wananchi walisha ichoka na muda ukifika itabidi tu ccm ije iondoke madarakani.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Ni haki yao kikatibaCHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Hakuna haja ya kukata tamaa. Alisalitia mesaya itakuwa hawo wapuuzi! Wache waendeFor sure upinzani Tanzania hauhitajiki. Na hatujui sababu na faida yake. Unapikuwa na Taifa ambalo watu hawawezi kufikiri ujue una Taifa mfu. Ni kama mtoto aliyezaliwa na hakulia.
Ila kwa mtindo huo ccm haiwezi kuonekana ni bora.
Kwa kutegemea kuua vyama vya upinzani. ccm wananchi walisha ichoka na muda ukifika itabidi tu ccm ije iondoke madarakani.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako hawajasaliti ni kuwa opposition is rejected by the current system. Hakuna aliyeimara atabaki salama hao wsdhaifu ni kilimo chao na ndio price yao.Hakuna haja ya kukata tamaa. Alisalitia mesaya itakuwa hawo wapuuzi! Wache waende
Mkuu hapa naona kama unataka kusema kwamba, hata CHADEMA kuna wala rushwa kama waliopo CCM.Imeandika kwenye vitabu vitakatifu kuwa rushwa hupofusha na huleta uziwi, ccm inajisumbua mwisho wa siku wenye maamuzi wakati wa kupiga kura ni sisi wananchi
Acha waende hao ni ng"ombe kasoro mkia JPM aliwaita!!!!!CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Ambayo ni chadema ya mafisadi...Waende tu ibaki Chadema haswa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app