joseph ngalai
Member
- Nov 29, 2016
- 22
- 4
Hata mezee alisema maendeleo ayana chama, kwaiyo nibla bla tuu izo
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala keshokutwaHili Taifa Lina wanafiki wengi sana! Kuja kuendelea si leo wala kesho!!
Nadhani nitumie nafasi hii kuwaasa wanaoitwa viongozi wa vyama vyote vya upinzani na wanachama wa kawaida, tumuunge mkono Rais Magufuli, ili tuijenge nchi yetu.Kumbukeni kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Kujiunga CCM ndio njia pekee ya kumhamasisha,kumtia moyo na kumuonyesha kwa dhati kwamba tunamuunga mkono katika yale anayoyafanya.Karibuni nyumbani.CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Hakuna washirikina kama ninyiUsilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
(hasa kwenye mambo ya kishirikina kama haya, ebo!)
Hivi hujui kufa kufaana?CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Sio hiyo tu mbona unasahau itikadi za kuwasafisha watuhumiwa wa ufisadi. Maana wao wwnyewe walikua wanasema hawasafishiki. Kumbe ilikuwa ni TUNGO TATA.. ukweli ndio huu wanaoutekeleza sasaAtabaki Mbowe mwenyewe na itikadi zake za kupinga kila kitu
Kwani vipi kuhusu Mashinji aliyepo. Mbona unakata tamaa mapema kamanda..aaah !hapo nyuma nilikua nazungumza sana kuhusu Dr Slaa lakin niliishia kushutumiwa tu. Viongozi walikua hawahitaji mtu mzuri walikua wanahitaji pesa.hustukii tuuNitakua wa mwisho kuli! ini hili
Lakini kama linaukweli sio la kushangaliwa kwa mtanzania mwenye nia njema na taifa hili hata kwa wana ccm wenyewe.
Ikumbukwe hata huyu tunaemsifu ni kwa nguvu ya vyama vya upinzani ndio ilisaidia.
Sasa ikitokea vyama vikafa nchi itarudi ilikotoka
Inapaswa upinzani uwepo tena imara ili kuleta ushindani katika uchaguzi kusaidia kila chama kiweke mtu makini. Vinginevyo tutawekewa hata vivuli na kwa sababu hakuna m badala tutavichagua na hapo ndio uwe mwisho wa taifa hili.
Ombi langu, popote alipo dr. Slaa kwa maslahi ya taifa arudishwe kwenye chama na kwa vile imeshaonyesha dhahili yeye ndie dereva wa kweli, basi tujirekebishe tusonge mbele
Dr. Slaaa njooo tz utusaidie baba yetu, tumekukwaza sana, tunakulilia na tunakuomba utumie hekima yako ya utumishi wa Mungu uliokoe taifa hili,
Tuendako tutakulilia wewe kwani ulikuwa na uwezo wa kutuokoa lakini hukufanya hivyo. Rudi kokote uliko tz ni kwako na ni taifa lako
Sent from my HUAWEI G615-U10 using JamiiForums mobile app
Umenena. Hata kwetu ilikuwa wazi kwenye mabango ya campaign "CHAGUA MAG..."Siwalaumu maana wao wanataka maendeleo na kwa bahati nzuri maendeleo asilimia kubwa yanapelekwa kanda ya ziwa ikimaanisha mwanza, geita, shy town.......wacha wahame makamanda tusife moyo tuendelee na kwingine.
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Tuweke fair play,kiasi kwamba demokrasi ifanye kazi yake ,tuone hayo unayosema,mtabaki na lipumba tu,lakini mchezani ndo refa,halafu unamshikilia gorikipa unategemea nnHata cuf na nccr mageuzi waliwahi kujipa moyo hivyo hivyo..leo ni wasindikizaji
Mtaishia kusema wamelipwa kama njia ya kujifariji,kazi za hao ccm zinaonekana kwa sasa dhidi ya kiongozi wa nchi,kujipotezesha na kudharau ni kama kazi bule tu.Hawa nao wamelipwa kama wa arusha au vp, mwenye info zaid atuwekee pls
Mkuu embu acha masihara tuu, tuliobaki nao ni hatari sana tuuKwani vipi kuhusu Mashinji aliyepo. Mbona unakata tamaa mapema kamanda..aaah !hapo nyuma nilikua nazungumza sana kuhusu Dr Slaa lakin niliishia kushutumiwa tu. Viongozi walikua hawahitaji mtu mzuri walikua wanahitaji pesa.hustukii tuu