HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
laana ya kumpiga J.Sinde Warioba itaawamaliza CCMLaana ya kumuita Slaa, Dr Mihogo itawamaliza chadema
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
laana ya kumpiga J.Sinde Warioba itaawamaliza CCMLaana ya kumuita Slaa, Dr Mihogo itawamaliza chadema
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Teh teh [emoji2]Hata cuf na nccr mageuzi waliwahi kujipa moyo hivyo hivyo..leo ni wasindikizaji
Sawa kenge mdogo uwe unaelewa swali! Nimekuuliza wale madiwani Wa chadema arusha wanaohamia ccm nao ni kwa sababu ya hayohayo maendeleo ya huko kanda ya ziwa.Shirikisha ubongo wewe k3nge maji.......unavyoona arusha na mwanza au geita wapi kunapelekwa mirandi ya maendeleo sana.
Na bado povu litawakauka Lumumba buku jero jero maana mnajikaanga kwa mafuta yenu
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Ccm saizi wapo kuibongonyoa chadema
Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana. Ni sawa na bahari uchote ndoo 84 za maji na utegemee bahari itaisha maji.
Hapo utakuwa unajidanganya.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Mkoa mzima wa mwanza hauna viongozi 84,lini lumumba mtakua na akili misungwi ina viongozi 84 kweli au wanaccm wenzenu.CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
Mlipokuwa mnajioelejea umeme miliman na lami migombani kuna mtu aliwasema? Hivyo vitu vinavyopelekwa maeneo mengine nyie mlijiwekea miaka nenda rudi kwa ubinafsi wenu na wazee wenu kina mzee mtei na wengine sitawataja humu kwa heshima zao kubwaSiwalaumu maana wao wanataka maendeleo na kwa bahati nzuri maendeleo asilimia kubwa yanapelekwa kanda ya ziwa ikimaanisha mwanza, geita, shy town.......wacha wahame makamanda tusife moyo tuendelee na kwingine.
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Kama ile bilioni 10 ya kuuza chama, lazima iwatafune!!Imeandika kwenye vitabu vitakatifu kuwa rushwa hupofusha na huleta uziwi, ccm inajisumbua mwisho wa siku wenye maamuzi wakati wa kupiga kura ni sisi wananchi
Majungu na fitna ndio mtaji wa mabashite na mafisiemWeka orodha ya majina vinginevyo ni majungu tupu.
Laana ya kumuita Slaa, Dr Mihogo itawamaliza chadema
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Chadema haswa anayo slaa!Waende tu ibaki Chadema haswa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kweli mkuuMajungu na fitna ndio mtaji wa mabashite na mafisiem
Hahaha Raha kwelikweliAtabaki Mbowe mwenyewe na itikadi zake za kupinga kila kitu