Tetesi: Viongozi 84 wa CHADEMA wilaya ya Misungwi Mwanza wafunga ofisi na kuhamia CCM

Hao nyumbu waliokuwa na ngozi ya Mbuzi, wanaohama uwezo mdogo kifkira

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe uko wapi mpaka usione maendeleo ya awamu hii?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Chadema walitegemea nini kuwakumbatia mafisadi?
 
Yaani hiyo ni kama kuwalipa watu fidia ili wahamie mahali fulani....hakuna cha ajabu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi wanaotajwa na ccm kuwa ni mafisadi hasa ni akina nani?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha naona umetoa ya moyoni. Tatizo lenu hampendagi kusema ukweli au kuambiwa ukweli. Unabaki unagugumia. Sasa hivi mhe. Rais anatenda mambo ya kizalendo sana. Tumuungeni mkono. Achaneni ma wanasiasa uchwara wenye siasa za matukio.eti mtu anaibuka sijui kutoka wapi anakurupuka na kusema jamaa wa uamsho waachiwe wamekaa mno gerezani. Sass sijui yeye ndio askari au mpelelezi au vip. Ukiambiwa anahusiana na mambo ya Kibiti sijui utajificha wapi. ... tuache siasa za matukio. Dr Slaa alikuwa anajua anachofanya. Na sio hawa ambao kuna tetesi walishanunuliwa na hawajawahi kanusha....wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…