gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
inawezekana ukawa na hoja mzuri kivipi? Jana alivyotoka tu kagoma tulipelekewa moto cjapata kuona.To me okajepha mzuri kuliko Kagoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana ukawa na hoja mzuri kivipi? Jana alivyotoka tu kagoma tulipelekewa moto cjapata kuona.To me okajepha mzuri kuliko Kagoma.
Ufinyu wa kikosi ulimfanya kocha ampange kagoma wakati bado alikuwa ajawa fiti yeye pamoja na hamzainawezekana ukawa na hoja mzuri kivipi? Jana alivyotoka tu kagoma tulipelekewa moto cjapata kuona.
Kwani Simba wamesajili wachezaji wangapi? Mpaka useme hna wachezaji. Kina Chasambi hata benchi hawakuwepo, Ngoma, Awesu walikuwa benchi. Ateba hakuwa mbaya SEMA alikuwa hachezeshwi. Halafu hayo maswali hamna quality kawaulize viongozi wako waliosema wamefanya usajili wa bilioni saba.umesema kocha anang'ang'ania wachezaji wale wale nakuuliza swali ukimtoa che malone anacheza nani nafasi yake? Ukimtoa debora nani anacheza nafasi yake? Ukimtoa ateba nani anacheza nafasi yake? Sisi simba hatuna quality ya kumzidi yanga uto is far better compared to us. Jana katoka kagoma na hamza timu nzima imepotea unajua kwanini we don't have qualities on the bench that can match those qualities on the pitch hatuna timu bora ya kumfunga yanga wametuzidi wametuzidi wametuzidi wametuzidi wametuzidi ubora kila sehemu.
Hizo timu zote alizoshusha daraja hakuwa na qualityAcha ujinga wewe, kocha Fadlu ni bonge la strategist, inabidi aongezewe watu dirisha dogo
Sijui kama watKuelewa makolo,umeandika kitu sensitive.Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba!
Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na akili za wanachama na mashabiki wao ili kulinda vibarua vyao pindi wanapoona mambo ayaendi, wamekuwa wakiwatoa mbuzi wa kafara wenzao na wao kujifanya sio Wenye matatizo kwenye uongozi wao!
Kauli zile za magori alizozitweet kwenye mtandao akiwalaumu marefa, kipa wao camarra, na Azam tv ni kiashiria tosha kinachoonyesha ombwe la uongozi lililopo pale Simba!
Viongozi mwenye hekima na busara uwezi kutoa kauli kama zile wazi wazi vile Tena ukimsimanga mchezaji wako hadharani kwamba Kuna viashiria kauza mechi ni utahaira wa viwango vya lami!!
Viongozi Hawa wameshajua pona pona yao ni kuwatupia wenzao mizigo ya lawama ili wao waendelee kuwa safe kwenye nafasi zao, Kila mechi wanakuja na malalamiko mapya wakifungwa awaangalii ubora wa wenzao, wanawajaza mashabiki wao maneno kwamba Wana kikosi Bora cha kushindana na yanga matokeo yake wakijua uwanjani wakakuta vitu tofauti na wao wanaanza kutafuta visababu vya ovyo ovyo waonekane wameonewa!
Ukirudi kwenye takwimu maana Mpira ni namba na sayansi ungeshindwa kuona ni wapi Simba angetokea kumfunga yanga na kupata ushindi, Kila eneo yanga ni Bora kuliko Simba kimbinu na kiufundi, lakini Hawa viongozi wanawaaminisha watu wao kwamba tiyali wako na timu Bora kama yanga uko ni kujidanganya!
Uwezi kukosa ubora wa wachezaji na kikosi kizima alafu ukategemea kupata ushindi kwa kutegemea nguvu na maelekezo ya waganga wa kienyeji ukatoboa ni ngumu!
Angalia Simba kikosi chao cha kwanza kikifanyiwa sub tu ya mchezaji Mmoja wanapoteana mazima, angalia wenzao yanga akitoka mtu anayeingia anauwasha kama aliyetoka, akuna tofauti ya viwango vya waliopo benchi na wanaonza,
Kocha wa Simba jana aliamua kumuanzisha kagoma na hamza ambao awakuwa fiti na match fitness awakuwa nayo kutokana na kuona waliokuwepo fit Awana ubora kama hao matokeo yake awakumaliza ata dk 90 wakapata Tena maumivu na kutolewa!
Iyo kitu inaashiria Simba wanacho kikosi kifinyu cha kutegemea baadhi ya wachezaji wasipokuwepo wanakuwa na hali mbaya!
Sasa iyo timu ndiyo inakuwa inategemea kupata matokeo mbele ya yanga yenye kikosi kipana na quality ya wachezaji Kila idara ni vichekesho kabisa!
Tumeona alitoka Aziz ki, pacome na dube lakini walipoingia chama, musonda na mzize ikawa mafuriko ya hatari kwa Simba!
Wao sub yao ikawa okejepha, barua na kijiri kilichotokea Kila mtu aliona!
Sasa bwana magori na wenzake wasipobadilika wataendelea kuitumbukiza iyo timu shimoni wanasajiri cheap labour alafu wanategemea wawape matokeo the same na wenzao iyo kitu aipo na aitokuwepo! Uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mchicha!
unaweza kusajili wachezaji wengi na wasiwe bora, quality matters not quantity simba hatuna wachezaji wengi wenye quality ukilinganisha na yana that's it..!! Unachobisha nini? Man utd wana kikosi cha gharama kuliko liverpool but livakuku bado ni bora kuliko man utd nini bilioni 7?Kwani Simba wamesajili wachezaji wangapi? Mpaka useme hna wachezaji. Kina Chasambi hata benchi hawakuwepo, Ngoma, Awesu walikuwa benchi. Ateba hakuwa mbaya SEMA alikuwa hachezeshwi. Halafu hayo maswali hamna quality kawaulize viongozi wako waliosema wamefanya usajili wa bilioni saba.