VIONGOZI AINA YA MAGORI PALE SIMBA NI TATIZO LA KWANZA KWENYE MANAGEMENT, WANAZO AKILI ZA KIZAMANI NA MAMBO YA KIZAMANI!

Alafu wanamlaumu refa lakini hapo hapo wanasahau point za dhuruma walizozipata dhidi ya Dodoma Jiji kwa kubebwa na refa aliyewapa penalty ya mchongo, bado kule Zanzibar Azam alionewa sana na magoli ya mchongo, walipolalamika wenzao wakasema msimu huu ni ubaya ubwela🤣🤣
Sasa waendelee na huo ubaya ubwela wao tuone mwisho wa msimu nani anabeba ndoo!
 
inawezekana ukawa na hoja mzuri kivipi? Jana alivyotoka tu kagoma tulipelekewa moto cjapata kuona.
Ufinyu wa kikosi ulimfanya kocha ampange kagoma wakati bado alikuwa ajawa fiti yeye pamoja na hamza
 
Hakuna kiongozi hapo...

Anahamisha hasira za mashabiki zielekezwe kwa wachezaji...
 
Hiyo team kila mtu ni mpumbavu mpaka viongozi wao ndiyo kama hivyo
 
Unakufa kisa timu ya mpira ambayo hata gawio la faida kwa mwaka halikutambui. Huu ni ungonjwa wa kujitakia
 
Kwani Simba wamesajili wachezaji wangapi? Mpaka useme hna wachezaji. Kina Chasambi hata benchi hawakuwepo, Ngoma, Awesu walikuwa benchi. Ateba hakuwa mbaya SEMA alikuwa hachezeshwi. Halafu hayo maswali hamna quality kawaulize viongozi wako waliosema wamefanya usajili wa bilioni saba.
 
Sijui kama watKuelewa makolo,umeandika kitu sensitive.
 
unaweza kusajili wachezaji wengi na wasiwe bora, quality matters not quantity simba hatuna wachezaji wengi wenye quality ukilinganisha na yana that's it..!! Unachobisha nini? Man utd wana kikosi cha gharama kuliko liverpool but livakuku bado ni bora kuliko man utd nini bilioni 7?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…