Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hii Yanga inawatesa watu wengi sana.Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo.
Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa zote mkianza na Yanga leo.
Najiuliza ni kweli mliyoyasema yalitoka kwenye sakafu za moyo wenu?
Yanga wamekuwa wakiwafunga kwenu pale Chamazi kila siku, hamjawahi kupata sare pale uwanjani kwenu ndio mtaweza kwa Mkapa?
Nyie Azam muwafunge Yanga nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie,nyie, nyie, nyie, nyie, thubutuuuuuuuu.
Kwa mara ya kwanza leo Azam anamfunga Yanga goli 2 au 3 mawili yakifungwa na Feisal. Nasema hivi kwasababu Azam ikifungwa itakuwa ni aibu sass, hivyo inyeshe au liwake leo ushindi ni wa Azam , hata marefarii wa leo wanalijua hili na huenda Azam + Simba + Tff wanalishughlikia hili jamboJuzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo.
Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa zote mkianza na Yanga leo.
Najiuliza ni kweli mliyoyasema yalitoka kwenye sakafu za moyo wenu?
Yanga wamekuwa wakiwafunga kwenu pale Chamazi kila siku, hamjawahi kupata sare pale uwanjani kwenu ndio mtaweza kwa Mkapa?
Nyie Azam muwafunge Yanga nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie,nyie, nyie, nyie, nyie, thubutuuuuuuuu.
Ajabu,Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo.