Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

Sidhani. Ila wanafanya maamuzi huku wakijua matokeo ni yepi.
Ndio kulegea Kwa nati kwenyewe huko Sasa kama watu Kila siku wanakua hawana msimamo hao ni viongozi yaani unaenda kushikana mkono na mtu ambae unataka kumtoa kwenye ulaji wake hiyo inaingia akilinihapo wanajuanana ccm wanachezea akili za watanzania
 
Hapana. Ni vizuri washiriki, na kwa kushiriki kwao wananchi wanajionea wenyewe kinachofanyika, na siku moja watakuja kuchukua hatua. Kwa huko nyuma, Chadema walipokuwa wakisusia wananchi walikuwa hawawaelewi, walilalamika. Na ni katika kushiriki mchakato ndipo madudu kama haya yanapoibuka, then wananchi wanajionea wenyewe. Kutoshiriki kunawafanya CCM washinde asubuhi kweupe. Hata kwenye kesi usiposhiriki, uamuzi unatoelewa dhidi yako. Lakini ukishiriki na kuonewa, angalau unaweza kukata rufaa na uamuzi kubadilishwa.
 
Kushiriki UCHAGUZI unaijua mshindi nani ni ujinga wa Karne Kila mwaka baada ya UCHAGUZI chadema ni kulalamika tu unaona wapo sawa kichwani halafu UCHAGUZI ujao wanashiriki tena
 
Hilo tatizo ni la kimuundo, dawa yake ni katiba unless then hiyo loophole ya kutumika itaendelea kuwepo
Na kikiingia chama kingine watatumia the same thing. Ni better kifungu kwenye katiba ki revoke hiyo power

Hilo ni la msingi pia. Ilitakiwa CHADEMA wapambanie
Sio kama huyo anatumika nilishatoa nyuzi nyingi ila wanachadema mtu akipinga kitu mnamuona kama CCM mbowe ni nyoka chadema na serikali ya ccm inafurahia uwepo wake chadema

Mbowe ni nyoka kabisa. Alilazimisha maridhiano ndio akakiua chama daima.
 

Sioni tofauti ya kushiriki na kutokushiriki. Kwa mfumo tulionao itabidi miujiza utokee ili upinzani wapete haki yao. CHADEMA wangejitoa tu wangejenga impact ya kisiasa. Kuliko Sasa wameshiriki na kuambulia Asilimia Zeo na point. Ni kama CCM waliwasubiri wajiingize kingi wawaaibishe.
 
Kushiriki UCHAGUZI unaijua mshindi nani ni ujinga wa Karne Kila mwaka baada ya UCHAGUZI chadema ni kulalamika tu unaona wapo sawa kichwani halafu UCHAGUZI ujao wanashiriki tena

Tena Cha kusikitisha ni kwamba wakati wagombea wa CHADEMA wanaenguliwa , Mbowe bado akaja na kauli ya kutokususia uchaguzi. Yani nusu ya wagombea wako wameenguliwa bado unalazimisha kushiriki.
 
Halafu ubaya anajionesha kabisa na watanzania watamshangilia kwenye mokutano atayofanya

Kwa Sasa sidhani Kama Kuna mtanzania ana hamu na Mbowe. Alimleta Lowassa akasamehewa, analazimisha maridhiano akasamehewa na Sasa kulazimisha kuingia kwenye uchaguzi batili. Hata Mimi Sina hamu naye.
 
Kwa Sasa sidhani Kama Kuna mtanzania ana hamu na Mbowe. Alimleta Lowassa akasamehewa, analazimisha maridhiano akasamehewa na Sasa kulazimisha kuingia kwenye uchaguzi batili. Hata Mimi Sina hamu naye.
Wapo tena wengi sana hawakosekani hata kidogo nilifurahi watanzania kutokuandmana hata kama ni waoga ila mnafiki alikua peke yake
 
Wasiposhiriki wananchi hawatawaelewa (watawalaumu) na kusema kama wangeshiriki wangeweza kushinda. Lakini wskishiriki na kufanyika ubakaji kama uliofanyika, wananchi watajionea wenyewe, then wataweza kuamua wawaunge mkono namna gani. Jambo linalotakiwa ni kutafuta kuungwa mkono na wananchi, lakini chama kama chama hakiwezi kushinda bila ya kuwa na support ya wananchi. Kwa baadhi ya clips zilizorusha mtandaoni na ushahidi wa aina nyingine wananchi wanaopata clues ya mambo Chadema au vyama vya upinzani vinavyofanyiwa rough.
 
Ushauri wako ulikuwa murua sana endapo ungesikilizwa na wao kuuzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…