Hapana. Ni vizuri washiriki, na kwa kushiriki kwao wananchi wanajionea wenyewe kinachofanyika, na siku moja watakuja kuchukua hatua. Kwa huko, nyuma Chadema walipokuwa wakisusia wananchi walikuwa hawawaelewi. Na ni katika kushiriki mchakato ndipo madudu kama haya yanaibuka, then wananchi wanajionea wenyewe. Kutoshiriki kunawafanya CCM washinde asubuhi kweupe. Hata kwenye kesi usiposhiriki, uamuzi unatoelewa dhidi yako. Lakini ukishiriki na kuonewa, angalau unaweza kukata rufaa na uamuzi kubadilishwa.