Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hahaha hatoki huyo yaani ni ngumu sana na lissu ameshalijua hiloNdio maana hata uchaguzi wa mwenyekiti ni danadana kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hatoki huyo yaani ni ngumu sana na lissu ameshalijua hiloNdio maana hata uchaguzi wa mwenyekiti ni danadana kila siku.
Huyo anamaanisha na CCM wenyewe wanajua huyo ni mtu wao kinachofanyika kuchezea akili watanzania Ili ionekane chadema inawapiganiaNikikumbuka Mbowe alivyosema kuwa hata msema vibaya Rais Samiah pale kwenye Mkutano wa kwanza viwanja vya furahisha Mwanza , nilidhani amelewa kumbe alikuwa anamaanisha.
Nchi hii ni ya vyama vingi sio lazima umkubali Mbowe, wewe endelea kivyakoMkuu Mimi Mbowe kwa Sasa simkubali kabisa ni kama anatumika Sana. Ingawa nimechelewa kulijua Hilo.
Nadhani sasa watachukua ushauri.Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini
Mkuu 'econo', unayo haki kamili ya kuwalaumu viongozi kama ulivyo jieleza hapa na kueleweka vyema.Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Hapana.Nchi hii ni ya vyama vingi sio lazima umkubali Mbowe, wewe endelea kivyako
. Mbowe anakukera vipi wakati unaweza kuanzisha chana chako kikayafanya hayo unayoona ni sahihi
Wewe ni adui wa chama hicho. Sidhani kuwa kweli upo ndani ya CHADEMA wewe.Usilazimishe kutoa ushauri kama haujaombwa.
Aliyekuambia CHADEMA wanahitaji ushauri wako ni nani?
Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?
Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.
Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.
Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?
Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Cha msingi unafiki wa serekali ya CCM unazidi kuwekwa peupe.Mbona walishiriki 2020?. Unaogopa lawama ili iweje?. Sasa umeshiriki ukafanyiwa hiyana utamlalamikia nani?
Wenzio wanamkubali sana na hawana mbadala:Mkuu Mimi Mbowe kwa Sasa simkubali kabisa ni kama anatumika Sana. Ingawa nimechelewa kulijua Hilo.
Ukweli mchungu na unaouma kweli ni lazima tu usemwe. Kama vile ambavyo Mh.Mbowe alivyokwisha kuahidi kuwa atajiuzuru nafasi ya M/Kiti Taifa, inampasa afanye hivyo mara moja ili kumpisha kada mwingine ambaye ataweza kukiimarisha zaidi chama na kukipa mvuto mpya.Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?
Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.
Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.
Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?
Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Mbowe hapana ni kama anaisaidia sana CCM badala ya chama chake. Amekuwa soft mno ni kama yuko tu Ccm Lissu pamoja na uropokaji wake angalau unamuona kabisa ana machungu na chama. Heche utendaji wake kwenye Bavicha yake unampa credit ya kuwa kwenye rekodi nzuri.Kweli kabisa. Mimi naamini mwenyekiti angekuwa heche au Lissu CHADEMA isingeshiriki huo uchaguzi.
muzi wao wa kutosusia walikuwa sahihi, maana CCM hata ukisusa wao ni mbele kwa mbele, bora uwape wakati mgumu kidogo, wangesusia mwanzoni wasingeziona hizi sarakasi zilizoendelea.Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?
Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.
Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.
Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?
Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Nakazia.👆Mtu pekee wa kupewa lawama ni mwananchi wa tanzania
Kwamba yameanza leo ?Wangesusia haya yaliyotokea ungeyajulia wapi? Ufanye biashara na tapeli uthihirishe utapeli wake.
Sawa hakuna kilichobadilika, lakini hata viongozi wa dini wamefahamu mbinu chafu zinazotumika dhidi ya vyama vya upinzani. Wangesusia hizo mbinu chafu zingebaki tu kama speculation. Kususia ni njia mojawapo ya ku'disapprove' jambo, lakini si njia pekee, na pia inategemea mazingira. Hapo unasema "watu wenye akili timamu" ni wangapi wanaoiunga mkono Chadema, ukilinganisha na "wasio na akili timamu" wanaoiunga mkono Chadema pia"? Wangesusia hata hao viongozi mia kadhaa wasingepatika. Lakini tayari angalau hao wamepatikana ni starting point.Mtu mwenye akili timamu chadema ikisusia UCHAGUZI ndio atafurahi sababu hamna jipya haya wamekubali kuwa kwenye UCHAGUZI Kuna kilichobadilika zaidi ya wizi wa kura na kudharirika kupata viti 1222 dhidi ya viti 22950 yaani inaonesha kabisa wizi wa halai ya juu umefanyika
Mkuu unaumri Gani maana kama umeshushwa Leo duniani kwani wizi wa kura umeanza mwaka huu mpaka useme wameshafahamu si Kila mwaka wa UCHAGUZI chadema wanashiriki na wanalalamika kuibiwa kura unaona hao watu wanaakili timamuSawa hakuna kilichobadilika, lakini hata viongozi wa dini wamefahamu mbinu chafu zinazotumika dhidi ya vyama vya upinzani. Wangesusia hizo mbinu chafu zingebaki tu kama speculation. Kususia ni njia mojawapo ya ku'disapprove' jambo, lakini si njia pekee, na pia inategemea mazingira. Hapo unasema "watu wenye akili timamu" ni wangapi wanaoiunga mkono Chadema, ukilinganisha na "wasio na akili timamu" wanaoiunga mkono Chadema pia"? Wangesusia hata hao viongozi mia kadhaa wasingepatika. Lakini tayari angalau hao wamepatikana ni starting point.