Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?

Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.

Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.

Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?

Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
 
Viongozi wa chadema utawaonea tu maana hata wasingeshiriki tlp, udp na vyama vingine rafiki wangeshiriki na lawama zingekua kwa staili tofauyi tu kwamba hamjashiriki mmewapa fursa.

Mtu pekee wa kupewa lawama ni mwananchi wa tanzania
 
CHADEMA wasingeshiriki lawama zingekuwa kubwa sana,hata CCM wenyewe wangejivika utakatifu wasiokuwa nao kwa kuwatupia CHADEMA vijembe,kushiriki kwao kunazidi kuthibitisha kuwa maridhiano ya CCM na vyama vya upinzani ni kiini macho,na ukija upande wa CCM wao wanazidi kuthibitisha kuwa ni chama ambacho hakiko tayari kutenda haki na hakikubaliani na demokrasia.
 
Hasa mwenyekiti ni janga kwa chama hiki, hakukuwa na sababu kushiriki uchaguzi. Chadema wanapolalamika leo wananikera sana
 
Nimeshatoa nyuzi nyingi sana kuhusu mbowe ila wewe ulikua unamtetea sana Sasa nashangaa unalalamika nini hapa naona unaaza kukubali kwamba huyo jamaa sio chadema ni chawa wa serikali endelea kumtetea maana si mnaona Kila anaeenda against chadema ni ccm okay vizuri endelea kumtetea mbowe
 
Anzisha chama chako ndio uweke ujinga wako huo wa kususa. Embu niambie Lissu alipigia wapi kura hapo juzi? Kubalini tu kuwa Ninyi hamjitambui na wala hamuwezi kupigiwa kura na watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua. Ondoa haraka sana huu ujinga wako hapa.
 
Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?

Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.

Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.

Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?

Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Usilazimishe kutoa ushauri kama haujaombwa.

Aliyekuambia CHADEMA wanahitaji ushauri wako ni nani?
 
Viongozi wa chadema utawaonea tu maana hata wasingeshiriki tlp, udp na vyama vingine rafiki wangeshiriki na lawama zingekua kwa staili tofauyi tu kwamba hamjashiriki mmewapa fursa.

Mtu pekee wa kupewa lawama ni mwananchi wa tanzania

Hata hivyo vyama vikishiriki havina impact yoyote . Ndio maana vinadai uchaguzi ulikuwa huru maana hawana cha kupoteza.
 
CHADEMA wasingeshiriki lawama zingekuwa kubwa sana,hata CCM wenyewe wangejivika utakatifu wasiokuwa nao kwa kuwatupia CHADEMA vijembe,kushiriki kwao kunazidi kuthibitisha kuwa maridhiano ya CCM na vyama vya upinzani ni kiini macho,na ukija upande wa CCM wao wanazidi kuthibitisha kuwa ni chama ambacho hakiko tayari kutenda haki na hakikubaliani na demokrasia.

Mbona walishiriki 2020?. Unaogopa lawama ili iweje?. Sasa umeshiriki ukafanyiwa hiyana utamlalamikia nani?
 
Lawama pia ziende kwa Maaskari. Wanatumika kuharibu uchaguzi na kuwabeba CCM kuiba kura.

Ila malipo ni hapa hapa duniani. CCM wanakulaga pensheni za maaskari mpaka salio ni 0 🤣
Hilo tatizo ni la kimuundo, dawa yake ni katiba unless then hiyo loophole ya kutumika itaendelea kuwepo
Na kikiingia chama kingine watatumia the same thing. Ni better kifungu kwenye katiba ki revoke hiyo power
 
Hasa mwenyekiti ni janga kwa chama hiki, hakukuwa na sababu kushiriki uchaguzi. Chadema wanapolalamika leo wananikera sana

Huyu mwenyekiti atakiua chama hivi hivi. Umeshiriki halafu unalalamika kana kwamba ulikuwa hujui rafu za 2019/2020?. Uchaguzi mwingine wakirudia hivi , watu watawasusia daima.
 
Nimeshatoa nyuzi nyingi sana kuhusu mbowe ila wewe ulikua unamtetea sana Sasa nashangaa unalalamika nini hapa naona unaaza kukubali kwamba huyo jamaa sio chadema ni chawa wa serikali endelea kumtetea maana si mnaona Kila anaeenda against chadema ni ccm okay vizuri endelea kumtetea mbowe

Mkuu Mimi Mbowe kwa Sasa simkubali kabisa ni kama anatumika Sana. Ingawa nimechelewa kulijua Hilo.
 
Usilazimishe kutoa ushauri kama haujaombwa.

Aliyekuambia CHADEMA wanahitaji ushauri wako ni nani?

Nani kakuambia nahitaji reply yako? Nani kakuambia unireply?. Punguza kiherehere. Unanireply sijakuomba , halafu unaniambia sojaombwa ushauri na CHADEMA. Punguza unafiki
 
Back
Top Bottom