Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

Huyo dada ni mfuasi wa Mchungaji Mwakipesile wa Isyssye Mbeya. Mchungaji huyu ana bifu na TISS.
Mpaka hapa uko sawa.

Ila ukweli halisi ni kuwa hana bifu na TISS Kwa ujumla wake bali na baadhi tu ya viongozi wake hususani aliyekuwa DG wao ambaye sasa ni balozi somewhere huko nchi za kigeni
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo.
Ndugu Huihui2 ni wazi huna taarifa sahihi na za kutosha juu ya mgogoro huu kati ya mchungaji huyu na polisi/serikali.

Iko hivi;

1. Huyu ndugu humtaja aliyekuwa DG wa TISS direct kuwa ndiye aliyeua mwanae. Kama tuhuma ziko direct kiasi hiki kwa muhusika tena akitajwa kwa jina lake, tunadhani ni kwanini mamlaka na vyombo husika havichukui hatua? Au ni haki kwa kiongozi kuua?

2. Na kabla ya hapo upo mgogoro wa kukataliwa kusajiliwa kwa taasisi/kanisa lake licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kuwasilisha nyaraka zote zunazotakiwa kisheria. Amefuatilia Dodoma na DSM miaka na miaka mpaka kachoka. Ameingia kila mlango wa ofisi ya serikali lakini yote imefungwa, hapati msaada na hasikilizwi. Njia pekee aliyobaki nayo kupambania haki yake ni mdomo......yaani kupiga kelele na kusema kila kitu

3. Haya yakiwa yanaendelea, akawa amefunguliwa kesi mahakama ya Mbeya. Kwa maelezo yake ni kuwa hata huko mahakamani watesi wake hapa wameshafika na wameikamata mahakama ili tu kuhakikisha hapati anachokitaka..!

## Katika mazingira haya kwanini mtu asifikiri kuwa labda yeye na watu wake wanaonekana ni manyani (wanyama) tu wasiostahili kutendewa kama wanadamu?
Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
1. Hueleweki ndugu Huihui2. Wanamshauri kitu gani kama yule anayesemekana ameua mtoto wake yupo analindwa na kutamba mitaani? Hapa si ishu ya kishauri bali ni sheria kuchukua mkondo wake.

2. Wanafanya kiburi gani? Unataka waunyamazie na kuunyenyekea uovu na waovu?
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali.
Kama hawa watumishi wa Mungu wanachofanya ni kukemea matendo maovu, wizi, uonevu, ufisadi na kutowajibika Kwa viongozi wenye dhamana serikali unatafsiri kama "kuoneshana umwamba na serikali", basi huu umwamba Kila mpenda HAKI ni lazima auonge mkono..
Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinda dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo
Hujui usemalo na huijui historia ya kanisa wewe. Nitakupa mifano michache toka kwenye Biblia..

1. Unamjua Mfalme (Rais) wa kwanza kutawala wanadamu aliyeitwa Sauli wakati wa utumishi wa Mungu Nabii Samweli? Unajua nini kilimtokea Mfalme huyu baada ya serikali yake kuwa ya mabavu na kuonea watu huku yeye mwenyewe Mfalme akimkufuru Mungu ktk kiwango cha kutisha sana? Kama hujui, nakuambia kuwa utawala wake ulianguka na yeye mwenyewe Mfalme Sauli kufutiliwa mbali (kufa) kwa sababu ya maombi ya Nabii Samweli. [Soma kisa hiki kwenye Biblia yako kitabu cha 1 Samweli 15:1 - 35]

2. Pia soma 1 Wafalme 18:1-46 utakutana na kisa kilichorekodiwa cha mtumishi wa Mungu Nabii Eliya dhidi ya utawala wa Mfalme (Rais) Ahabu na mkewe Malkia Yezebel waliokuwa wanatawala nchi na watu kwa kutumia nguvu za miungu iliyoitwa Baali na kuleta mateso na mahangaiko kwa wananchi na watumishi wengi wa Mungu. Kanisa likiwakilishwa na Mtumishi wa Mungu Nabii Eliya lilisimama imara na kuukemea uovu huo. Utawala wa Ahabu ulianguka yeye na mkewe wakafyekelewa mbali..

3. Soma pia kisa cha Mfalme Farao [soma Biblia yako kitabu cha Kutoka sura 4 - 10 na mkazo zaidi sura ya 11] wa Misri ya kale alivyokuwa na kiburi na kutesa na kuwadharau watumishi wa Mungu Lakini kwa maombi na sala za watumishi wa Mungu, utawala wake ulianguka na kupotea mpaka leo yeye mwenyewe na jeshi lake lote na silaha zake nzitonzito kama vile, magari ya washawasha, mabomu ya machozi, bunduki na vifaru walifia na kuzikwa chini ya vilindi vya bahari ya Shamu mpaka leo.

Point hapa ni kuwa si kweli kuwa hakuna serikali iliyowahi kuangushwa na maombi ya watumishi wa Mungu BALI kinyume chake ni kuwa, hakuna serikali yoyote duniani ambayo iliwahi kupambana na kanisa la Mungu aliye hai (au sema watumishi wa Mungu) na serikali hiyo ikabaki salama, imesimama. Na kama ipo weka mfano wake hapa na iko wapi duniani hapa..!

Na Tanzania mgogoro huu unaoendelea kati ya KANISA na serikali, hakika anguko la serikali liko wazi kuliko unavyofikiri..!
 
Kumaanisha hakuna huyo Mungu wanaomhubiri.
Ukishasema mtumishi wa Mungu hakuna aliyewahi kuishinda Dola, kimantiki unaeleza kuwa hakuna Mungu.
Hiyo ni maana yako, you are entitled to your opinion.

Ushauri wangu kwa Mchungaji Mwakipesile ni kwamba aendelee na kazi ya injili aache kulumbana na Serikali.

Isitoshe majirani wanadai huyo mwanaye anayedai aliuliwa TISS kumbe alikuwa ni jambazi aluyeshiriki biashara nyingi chafu.

Mwakipesile ameshindwa kumjenga mwanaye kiroho ili afanye mambo yasiyomchukiza Mungu, sasa anailqlamikia Serikali na wafuasi wapumbavu wana muunga mkono
 
Mpaka hapa uko sawa.

Ila ukweli halisi ni kuwa hana bifu na TISS Kwa ujumla wake bali na baadhi tu ya viongozi wake hususani aliyekuwa DG wao ambaye sasa ni balozi somewhere huko nchi za kigeni

Ndugu Huihui2 ni wazi huna taarifa sahihi na za kutosha juu ya mgogoro huu kati ya mchungaji huyu na polisi/serikali.

Iko hivi;

1. Huyu ndugu humtaja aliyekuwa DG wa TISS direct kuwa ndiye aliyeua mwanae. Kama tuhuma ziko direct kiasi hiki kwa muhusika tena akitajwa kwa jina lake, tunadhani ni kwanini mamlaka na vyombo husika havichukui hatua? Au ni haki kwa kiongozi kuua?

2. Na kabla ya hapo upo mgogoro wa kukataliwa kusajiliwa kwa taasisi/kanisa lake licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kuwasilisha nyaraka zote zunazotakiwa kisheria. Amefuatilia Dodoma na DSM miaka na miaka mpaka kachoka. Ameingia kila mlango wa ofisi ya serikali lakini yote imefungwa, hapati msaada na hasikilizwi. Njia pekee aliyobaki nayo kupambania haki yake ni mdomo......yaani kupiga kelele na kusema kila kitu

3. Haya yakiwa yanaendelea, akawa amefunguliwa kesi mahakama ya Mbeya. Kwa maelezo yake ni kuwa hata huko mahakamani watesi wake hapa wameshafika na wameikamata mahakama ili tu kuhakikisha hapati anachokitaka..!

## Katika mazingira haya kwanini mtu asifikiri kuwa labda yeye na watu wake wanaonekana ni manyani (wanyama) tu wasiostahili kutendewa kama wanadamu?

1. Hueleweki ndugu Huihui2. Wanamshauri kitu gani kama yule anayesemekana ameua mtoto wake yupo analindwa na kutamba mitaani? Hapa si ishu ya kishauri bali ni sheria kuchukua mkondo wake.

2. Wanafanya kiburi gani? Unataka waunyamazie na kuunyenyekea uovu na waovu?
Wewe Uzima Tele ni mfu tele. Kama anasema mwanaye ameuliwa na DG wa TISS atuonyeshe maiti yake kwanza. Hivi DG wa TISS anamkuta wapi mtoto wa Mwakipesile mpaka amuue? Kwa kitu gani hasa.?

Kuhusu kanisa lake kusajiliwa, nafikiri hajakidhi vigezo vya kusajiliwa otherwise angekuwa amekwisha pewa usajili. Lakini hata mimi ningekuwa MSAJILI wa madhehebu nisingempa usajili kwa namna kichwa chake kinavyopata moto. Yule ni mgonjwa wa akili na anahitaji tiba.

Kuhusu mifano ya Biblia. Nakuomba tu ushukiwe na Roho Mtakatifu ili akuwezeshe upate ufahamu mzuri wa Biblia na siyo kunukuu hovyo kama ulivyonukuu. Kwa hiyo wamuona huyo mwendawazimu Mwakipesile sawa na Nabii Eliah?

Na nyie Mapentekoste ndiyo mnasbabisha Waisalmu watudharau Wakristu kwa hivyo vimadhehebu uchwara vyenu. Kanisa gani litakuwa Isyesye kwenye kichochoro ndani ya pagala?

Nyie siyo wa Mungu bali ni wa shetani tu
 
Hiyo ni maana yako, you are entitled to your opinion.

Ushauri wangu kwa Mchungaji Mwakipesile ni kwamba aendelee na kazi ya injili aache kulumbana na Serikali.

Isitoshe majirani wanadai huyo mwanaye anayedai aliuliwa TISS kumbe alikuwa ni jambazi aluyeshiriki biashara nyingi chafu.

Mwakipesile ameshindwa kumjenga mwanaye kiroho ili afanye mambo yasiyomchukiza Mungu, sasa anailqlamikia Serikali na wafuasi wapumbavu wana muunga mkono

Sasa kama hakuna watumishi wa Mungu waliowahi kuwashinda watumishi wa Dola unataka kusema Huyo Mungu anazidiwa nguvu na Serikali/Dola la wanadamu?
 
Habari za jumapili!

Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo.

"Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo.

Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale wanaomkashfu, wale wanaomtazama kama Nyani, wanaomfanyia kama Nyani.

Aaaa! Dada wa Watu Kalia. Dada wawatu kagaragara.

Hao viongozi waliomuona huyu Dada kuwa ni Nyani NI kina Nani?

Wimbo ule ulinitia huzuni, nilijikuta na ng'ata Meno, agriii! Mpaka mwisho sikusikia jina la kiongozi yeyote aliyetajwa.
Nilitaka kuwajua hao viongozi wanaomuona huyo Dada wawatu kuwa ni Nyani. Hao viongozi washughulikiwe.

Baadaye tena nasikia amekamatwa. Jamani! Embu Polisi twendeni polepole. Dada wawatu analalama, anahitaji msaada, anatoa mtazamo wake, Mbaya zaidi hakuna aliyekuwa anamjua, hata Mimi Taikon Master sikuwa namjua.
Msikilizeni, tendeni mambo Kwa utulivu, Hekima na Busara.

Hii nchi inawatu tofauti, wengine wanaona wanaonekana Nyani na watu wengine. Wengine wanawaona Nyani wengine bila ya wao kujua au Kwa kujua kupitia Matendo Yao, maneno Yao, mitazamo Yao n.k.

Nataka kujua ni viongozi gani hao waliomuona huyo Dada na waimbaji wenzake kuwa ni Nyani?

Mmemkamata ili kumsaidia awatajie hao viongozi Mtakuwa mmefanya vyema. Lakini kama ni vinginevyo mtakuwa hamtendi HAKI.
yule binti kila alichoimba, hata wakimpeleka mahakamani hawamshindi. sipendi kikundi chake na mbarikiwa lakini tukirudi kwenye sheria, hashitakiki yule. kwasababu kama lalamiko la mtoto wa mbarikiwa ni kweli mbarikiwa atakuwa shahidi wake, amelalamika sana na hatujaona chochote kikisemwa hata kukanusha tu. kama ni bandari ni kweli imeuzwa bure, kila kitu alichoongea ni cha kweli, na inavyoonekana amejitoa mhanga, hata haogopi kufungwa. tangu mtoto wa mbarikiwa afe, wale jamaa akili zao sio zao na serikali inavyowashughulikia iwashughulikie kwa umakini sana. awali mimi sikujua wale watu wanakuwaga na hoja sana, hata mkewe nilikuwa najua hana akili, ila walivyosema basiiii na iwe basiii, wanaongea mambo ya msingi, though yamechanganywa na hasira, kukata tamaa na frustrations.
 
Wimbo wa mwaka. Umetulia halafu upo direct kwenye lengo sio kuzunguka.
 
Sasa kama hakuna watumishi wa Mungu waliowahi kuwashinda watumishi wa Dola unataka kusema Huyo Mungu anazidiwa nguvu na Serikali/Dola la wanadamu?
hata kama wasingekuwepo, sidhani kama tunatakiwa kuiogopa serikali namna hiyo, wa kumwogopa ni Mungu tu, hao wote ni makapi tu. na huyo anayesema dini haijawahi kuishinda dola, labda anasema ukweli, ila nijuavyo, Mungu huwa anaishinda dola. Nebukadneza alishawahi kuadhibiwa na Mungu, akapelekwa porini akala manyasi kama ng'ombe kwa miaka 7 hadi alipotia adabu. Mungu aweza kuwafanya chochote hata hawa viongozi wanaojifanya kichwa ngumu. na hawatakuwa wa kwanza kushughulikiwa na Mungu kama wataendelea kukaza shingo zao kuwa ngumu.
 
  • Thanks
Reactions: apk
yule binti kila alichoimba, hata wakimpeleka mahakamani hawamshindi. sipendi kikundi chake na mbarikiwa lakini tukirudi kwenye sheria, hashitakiki yule. kwasababu kama lalamiko la mtoto wa mbarikiwa ni kweli mbarikiwa atakuwa shahidi wake, amelalamika sana na hatujaona chochote kikisemwa hata kukanusha tu. kama ni bandari ni kweli imeuzwa bure, kila kitu alichoongea ni cha kweli, na inavyoonekana amejitoa mhanga, hata haogopi kufungwa. tangu mtoto wa mbarikiwa afe, wale jamaa akili zao sio zao na serikali inavyowashughulikia iwashughulikie kwa umakini sana. awali mimi sikujua wale watu wanakuwaga na hoja sana, hata mkewe nilikuwa najua hana akili, ila walivyosema basiiii na iwe basiii, wanaongea mambo ya msingi, though yamechanganywa na hasira, kukata tamaa na frustrations.

Naomba kujua yafuatayo;
1. Mtoto wa mbariki tangu Are inauhusiano gani na kinachoendelea?

2. Huyo mtoto alikufa Kwa sababu gani? Chanzo cha kifo chake?

3. Umri wake?

4. Malalamiko ya Mbarikiwa msingi wake ni upi?

Kama kuna link za sehemu ya majibu unaweza kuziweka Mkuu
 
hata kama wasingekuwepo, sidhani kama tunatakiwa kuiogopa serikali namna hiyo, wa kumwogopa ni Mungu tu, hao wote ni makapi tu. na huyo anayesema dini haijawahi kuishinda dola, labda anasema ukweli, ila nijuavyo, Mungu huwa anaishinda dola. Nebukadneza alishawahi kuadhibiwa na Mungu, akapelekwa porini akala manyasi kama ng'ombe kwa miaka 7 hadi alipotia adabu. Mungu aweza kuwafanya chochote hata hawa viongozi wanaojifanya kichwa ngumu. na hawatakuwa wa kwanza kushughulikiwa na Mungu kama wataendelea kukaza shingo zao kuwa ngumu.

Hatari Sana
 
Naomba kujua yafuatayo;
1. Mtoto wa mbariki tangu Are inauhusiano gani na kinachoendelea?

2. Huyo mtoto alikufa Kwa sababu gani? Chanzo cha kifo chake?

3. Umri wake?

4. Malalamiko ya Mbarikiwa msingi wake ni upi?

Kama kuna link za sehemu ya majibu unaweza kuziweka Mkuu
Mtoto wa mbarikiwa alikuwa binti wa umri wa sekondari. ukienda youtube utamwona anaimba na wazazi wake, huyo alikuwa mtoto wao pekee hawajawahi kubarikiwa na mtoto mwingine na baada ya kufa mbarikiwa alitoa kauli kwamba kama mtoto wake amekufa, yeye amebaki wa nini sasa?.

alikufa kwa ugonjwa gani, sijui, ila alipelekwa hospitali akauguzwa akafa. yeye mbarikiwa anasema alishawahi kuwa anaongea na mtu fulani wa serikalini wakati anatoa malalamiko yake, huyo mtu akaweka loud speaker, akamsikia akiongea kana kwamba walimshughulikia mtoto wake afe. huyo aliyekuwa anaongea kwenye simu upande wa pili ni Mkurugenzi TISS yule aliyehamishwa kwenda kuwa balozi juzi. hilo ameliongea sana kwenye clip zake na halijajibiwa.

wapo wanaosema mtoto wa mbarikiwa alikufa kutokana na kutokutibiwa kwasababu ya ajali waliyoipata njiani toka chato walikokuwa wameenda hivyo alikuwa na maumivu ya ndani kwa ndani hakutibiwa. (hatujui).

mwisho, malalamiko ya mbarikiwa, au niseme ugomvi wake mkuu na ccm au serikali ni kwamba, (kwa mujibu wa nilivyomfuatilia), aligomewa kusajili kanisa lake. kwa upande wangu, naipongeza serikali kumzuia asisajili kanisa kwasababu hana cheti kwa mujibu wa taratibu za sasa, na kichwa chake namna anavyowaongoza wale watu wake wa kikosi kazi anaweza kuwa kibwetele kabisa hapo baadaye, wale vijana amewashika akili zote. na wapo waliowahi kusema alishawahi kuwa na mawasiliano na makenzie wa kenya, ila hatuna ushahidi, ni maneno tu.

all in all, huo ndio ugomvi wake, na kuhusu kifo cha mwanaye, ukisikiliza clip zake mtandaoni hivyo ndivyo anavyosema. ila ukimsikiliza sana, unaona hautakiwi kuongea naye chochote, kwasababu yeye hata akija kuomba msaada au ushauri kwako, huwa anaenda mtandaoni anasema fulani alisema hivi. ndio maana huyo kiongozi wa serikali alijichanganya pia alipopiga simu kwa TISS akaweka loud speaker, yule wa tiss inavyoonyesha alitoa kauli ambayo yeye mbarikiwa aliitafsiri kama ilimaanisha kazi ya kumuua mtoto wake alishaimaliza na ni ilikuwa ya mkono wake, though inawezekana kwenye mambo ya inteligensia alikuwa anaongelea kitu kingine kabisa, na shida inakuja kwanini hawakanushi? wanazidi tu kumkamata badala ya kujibu hoja zake, hata kama anaonekana kama ni chizi fresh.
 
Vizuri.

Huyo TISS alikuwa ni Daktari, muuguzi au Acids tabibu wa hiyo hospitali?
Bila Shaka hakueleza.

Alimpigia ili afanye Jambo Gani?
Kwamba huyo TISS ni Daktari na hayupo ofisini(hospitalini) hivyo anaharibu kumsihi arudi ili amtibu mtoto wake?

Au je ni Ile Hali ya kuwa umefika hospitalini, sasa unataka kutibiwa chapuchapu kuliko wengine uliowakuta na Hilo lisipofanyika unatishia watumishi wa afya kuwa unandugu ambaye ni TISS ili upate upendeleo? Ndio maana akapiga simu, Kwa bahati Mbaya Ndugu au Rafiki yake huyo wa TISS hakutoa ushirikiano
 
Huyu Mwakipesile ni kichwa maji tu na nakushukuru chapwa24 umeona hatari tuliyonayo mbele kama hatodhibitiwa. Ni pure Kibwetere. Tusisubiri achome watu kanisani kwake ndiyo tuanze kuuliza kuwa Mamlaka zilikuwa wapi.

Halafu sidhani kama huyu Mwakipesile kwa akili yake aliongea na DG wa TISS. Hawa wakubwa siyo rahisi kuwafikia kwa kitu kama hicho
 
hayo maswali kamwulize yeye usiniulize mimi. yeye huwa anaamini walimuua kwa sumu ya polepole kwa maelekezo ya huyo TISS. nenda youtube kamsikilize, tafuta simu yake mpigie mwulize hayo maswali, na ukimaliza atakuweka na wewe mtandaoni kwamba ulimpigia mkajadili hilo jambo.
 
alimtaja kwa majina, na baada ya kuondolewa na kupewa ubalozi, ameendelea kusema hajaridhishwa alitakiwa aachishwe kwazi kabisa na ashitakiwe. sema wameamua kumpuuza tu na yeye anaendelea kuwachafua.
 
hayo maswali kamwulize yeye usiniulize mimi. yeye huwa anaamini walimuua kwa sumu ya polepole kwa maelekezo ya huyo TISS. nenda youtube kamsikilize, tafuta simu yake mpigie mwulize hayo maswali, na ukimaliza atakuweka na wewe mtandaoni kwamba ulimpigia mkajadili hilo jambo.

Sawasawa.

Nafikiri yupo kwenye huzuni na Hali ya kupagawa Kutokana na kuondokewa
 
Back
Top Bottom