pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Afande selle naona umeanza yale malaana zako!angemuweka mama yako namba 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande selle naona umeanza yale malaana zako!angemuweka mama yako namba 3
Sokoine ni Magufuli type sasa Lowassa ni tofauti sana.Kwa hiyo mkuu kwa mtazamo wako E.N. Lowasa alikuwa bora kuliko E.M. Sokoine? na F.A Mbowe ni bora kuliko Kambona na Kawawa?
Mkuu unaposema Sokoine ni Magufuli type unamaanisha nini? Na unaposema Lowassa ni tofauti sana unamaanisha nini? Kwamba labda hawakuwa wazalendo? Au utendaji wao haukuwa wa kuridhisha? Utofauti wao na Nyerere uko wapi?Sokoine ni Magufuli type sasa Lowassa ni tofauti sana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu.Ila nadhani tukiuongea ule ukweli hapa, Kizuizi kikubwa kwa Mbowe katika uongozi Tanzania ni hali fulani ya ukabila hususan imani ya watanzania juu ya kabila lake ya kwamba yupo kimaslahi zaidi.Sijasema kwa ubaya,Ila Binafsi namkubali sana & tukizungumzia 20 bora ya viongozi wa Tanzania hawezi kukosekana.Mbowe ni kiongozi mvumilivu na mwenye haiba kubwa sana kati ya viongozi wote wa upinzani. Hata ongea yake ni ya kipekee. Bravo kamanda Mbowe.
Toa namba tiusa haraka sana!Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa. Tunaona mifano ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye amepigania uhuru si kwa nchi ya Tanzania tu bali amekuwa na mchango mkubwa katika harakati za uhuru kwa nchi jirani kama Afrika Kusini, Zambia na Msumbiji.
Tanzania pia imepata kuwa na wanaharakati na wapigania uhuru mahiri walioweza kuitwaa nchi kutoka katika kucha za wakoloni. Tunaona wapigania uhuru na wanaharakati kama Kinjekitile Ngwale, Bwana Abushiri na Bibi Titi Mohammed. Viongozi kama Mtemi Isike, Chifu Mirambo, Mangi Meli na wengineo wengi ambao walikuwa viongozi wa kimila walikuwa mstari wa mbele katika mapambano ya uhuru na hatimaye kuikomboa na kutupatia Tanzania hii tunayoifurahia leo.
Bila kupoteza muda, Naomba niweke orodha fupi ya viongozi waliopata kuongoza Tanzania walioacha alama kubwa na historia ya kipekee kwa ubora wao na uwezo wao wa kiuongozi ambao pasi na shaka uliacha alama kubwa kwa watanzania.
Kwa sasa nitaweka orodha tu kwa kifupi ila nitarejea kuelezea kila mmoja kwa undani zaidi.Pamoja na kuongeza orodha mpaka kufikia kumi (10) Bora.
Updates; Moderators naomba mnibadilishie Title iwe Kumi (10) Bora badala ya Tatu (3) Bora. Ahsante
Viongozi Kumi (10) bora kuwahi kuwepo Tanzania.
1. Mwl.Julius Kambarage Nyerere (Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
View attachment 1752017
2. Edward Moringe Sokoine ( Waziri Mkuu wa Tanzania 1977–1980 na 1983 - 1984)
View attachment 1752018
3. John Pombe Magufuli (Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
View attachment 1752024
4. Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (Mkwawa) - Chifu wa kabila la Wahehe
View attachment 1752828
5. Benjamin William Mkapa (Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
View attachment 1752030
6. Rashidi Mfaume Kawawa ( "Simba wa Vita" - Waziri mkuu wa Tanzania 1972 - 1977" )
View attachment 1752641
7.Ali Hassan Mwinyi ( Rais wa Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1985 - 1995 )
View attachment 1752648
8.Oscar Salathiel Kambona ( Waziri wa Mambo ya Nje 1963–1966 )
View attachment 1753512
9. Jakaya Mrisho Kikwete ( Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2005 - 2015)
View attachment 1753513
10. Abeid Amani Karume ( Rais wa kwanza wa Zanzibar 1964 - 1972 )
View attachment 1753522
Kwanza nianze kukuliza una miaka mingapi? Baada ya hapo nikueleze Mwandishi kapatia MArh. Sokoine na Hayati Nabii Mfalme JPM wakoo sawa and I wish wangefanya kazi awamu moja!Nakubaliana na wewe mkuu.Ila nadhani tukiuongea ule ukweli hapa, Kizuizi kikubwa kwa Mbowe katika uongozi Tanzania ni hali fulani ya ukabila hususan imani ya watanzania juu ya kabila lake ya kwamba yupo kimaslahi zaidi.Sijasema kwa ubaya,Ila Binafsi namkubali sana & tukizungumzia 20 bora ya viongozi wa Tanzania hawezi kukosekana.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
iyeleta private companies kuleta Daldala ni PM Sokoine kwa kumshauri Mwlamu Nyerere na wakakubaliana!Mkuu bila shaka ww ni uzao wa miaka ya 90 kuja juu kwahiyo ulichokiona kwa Mkapa kutokana na umri wako haukukiona kwa Mwinyi. Mwinyi alikuta nchi hii watu wakitaka kwenda kazini tena maofisini wanagombania "chai maharage" bila shaka huo usafiri haukuukuta, Mwinyi alipoingia yakaletwa mabasi. Alikuta hospitalini hazina madawa na dawa chache zilizokuwepo zilitolewa kwa wale waliojigusa mfukoni, Mwinyi alipoingia madawa yakaanza kujaa mahospitalini pia hospitali zikajengwa nyingi tu. Ilikuwa watu wanashindia na kulalia mlo mmoja tena wa uji wa chumvi na kipande cha muhogo au ugali uliosongwa na unga wa "yanga" na maharage yanayokaa siku nzima jikoni ili yawive, Mwinyi alipoingia vyakula vikajaa madukani walanguzi wakakamatwa (hapa nazungumzia wale waliokuwa wanaishi kwa kuuzia watu masikini vitu vya serikali ambavyo walihitaji wapewe kama msaada) Mwinyi alikuta shule nyingi hazina walimu walikimbia kutokana na ukata wa pesa, Mwinyi alipoingia walimu wakaanza kulipwa vizuri kwa thamani ya hela ya wakati huo na kusababisha walimu kuongezeka mashuleni na pia ikasababisha shule za serikali na binafsi kujengwa kwa wingi. Barabara nyingi zilianza kujengwa wakati wa utawala wa Mwinyi, Tv wengi walianza kuziona wakati wa utawala wa Mwinyi. Hela mtaani ilianza kuonekana wakati wa utawala wa Mwinyi, Mkapa aliapishwa mwaka 1995 watu tunamuona kwenye TV yote ilikuwa juhudi ya Mwinyi, watanzania wengi tulianza kuonekana tunajua kuvaa wakati wa utawala wa Mwinyi, kabla ya hapo watu walikuwa wanashindia misuli kama fasion kumbe ni ukata wa nguo madukani. Mwinyi kaleta mengi ikiwemo demokrasia ambapo kabla yake haikuwepo. Nchi ikaanza kujulikana kimataifa. Nchi za jirani zikaanza kuwa zinakuja kununua bidhaa au kwetu badala ya sisi kununua kwao nk. Sasa ukisema Mkapa kafanya makubwa zaidi ya Mwinyi ni vigumu kueleweka. Maana kila alilolifanya Mkapa lilikuwa na mtelezo tu kwan alikuta ashatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya hayo unayoyasema. Labda kubwa alilofanya Mkapa ni kubinafsisha mashirika ya serikali tu
bu ya vijana wengi kuwa mitandaoni hata analysis zao za kijinga!Kwangu mini kama historia haikuwa manipulated Mzee Mwinyi ndio kiongozi bora wa muda wote nchi hii.
Aliikuta nchi kwenye depression kubwa lakini akaisongesha na hakuwa na ujivuni wala visasi na pengine ndio sababu Mungu amempa maisha marefu.
Mzee Mwinyi Mungu wangu ninayemwabudu katika Kristo Yesu akutunze akushibishe siku akujalie afya.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umegundue heee, janja ya nyani Kula mahindi bichiHakuna cha 10 bora wala nini yote yanafanywa kumtafutiwa Jiwe room aonekane kwenye rank za juu!
Kwa matendo dhalimu aliyofanya jiwe hastahili hata kuwemo top 10! Taratibu mtazoea tu kuwa hatunaye tena na hatutakuja kupata kiongozi evil kama yeye!
Poleni sana MATAGA
Lowassa ni mwanasiasa asiyeamini kwenye ujamaa na umasikiniMkuu unaposema Sokoine ni Magufuli type unamaanisha nini? Na unaposema Lowassa ni tofauti sana unamaanisha nini? Kwamba labda hawakuwa wazalendo? Au utendaji wao haukuwa wa kuridhisha? Utofauti wao na Nyerere uko wapi?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna mwanasiasa anayeamini kwenye umasikiniLowassa ni mwanasiasa asiyeamini kwenye ujamaa na umasikini
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yupi?Mmoja hapo big no
Kumplace jiwe no unafiktoa jiwe to mkwawa to woteTanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa. Tunaona mifano ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye amepigania uhuru si kwa nchi ya Tanzania tu bali amekuwa na mchango mkubwa katika harakati za uhuru kwa nchi jirani kama Afrika Kusini, Zambia na Msumbiji.