Viongozi kuzipita maendeleo nchi wanazoziongoza

Viongozi kuzipita maendeleo nchi wanazoziongoza

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,020
Reaction score
16,604
Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake

Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi kuongezeka kila kukicha hapa danganyika

Kwa nini mbinu wanazozitumia kujiletea maendeleo binafsi hawaziaply kwenye kuiendeleza nchi
 
Back
Top Bottom