DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Kagame hakuja kuzika Magu. Ila kwa Malkia kaenda.
Wakati Magu alidhani Kagame ni rafiki na muafrika mzalendo hivyo alimuamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame hakuja kuzika Magu. Ila kwa Malkia kaenda.
Wamedhalilishwa, wamekusanywa kwenye coaster mojaViongozi wa Afrika ni kama wanajipendekeza! Maana hata hao wazungu wenye msiba wao viongozi wao ni wachache.
Anyway kisiwandui finest haendi?
Hao UK Royal family hawazikwi kama kawaida onavyo jua mtu anaingizwa kwenye kaburi so called nyumba yako ya milele kwao ni tofauti imetengenezwa sehemu maaulumu St George Chapel chini huko kwa ajili ya wao kuzikwa lkn sio kama kaburi NO ni sehemu maalum kwa ajili yawao kukaa huko.wanamzika au wanaaga tu coffin? si ajabu maziko yake yakawa kama ya Diana ambapo hata media hazikuona process ya kushusha coffin kaburini
Inasaidia nn?Hao UK Royal family hawazikwi kama kawaida onavyo jua mtu anaingizwa kwenye kaburi so called nyumba yako ya milele kwao ni tofauti imetengenezwa sehemu maaulumu St George Chapel chini huko kwa ajili ya wao kuzikwa lkn sio kama kaburi NO ni sehemu maalum kwa ajili yawao kukaa huko.
Mfano mume wa QUEEN liz watamtowa huko alipo wekwa watamuweka beside Mke wk QUEEN ELIZABETH
Lugha rahis wanawekwa kwenye makabati ni kiasi cha kumtoa sehemu moja kumpeleka sehemu nyingine.
Kwao wao (Royal)ndio utaratibu wao au ndio mila yao ....utajuwaje ina saidia nini sisi hatuwezi kuelewa kama sisi lkn wao wanaweza kujua laabda .Inasaidia nn?
Hawa ndio wataingia kaburiniWatabeba jemeza au watakaohudhuria mazishi yake?
it is a vault. watakaa huko kwa muda kisha watamzika rasmi baadaye...haijulikani. ni wachache tu hata katika familia yao wanajuaHao UK Royal family hawazikwi kama kawaida onavyo jua mtu anaingizwa kwenye kaburi so called nyumba yako ya milele kwao ni tofauti imetengenezwa sehemu maaulumu St George Chapel chini huko kwa ajili ya wao kuzikwa lkn sio kama kaburi NO ni sehemu maalum kwa ajili yawao kukaa huko.
Mfano mume wa QUEEN liz watamtowa huko alipo wekwa watamuweka beside Mke wk QUEEN ELIZABETH
Lugha rahis wanawekwa kwenye makabati ni kiasi cha kumtoa sehemu moja kumpeleka sehemu nyingine.
Watakaomzika una maana gani? Watakaochimba kaburi au unamaanisha nini. Umeambiwa mazishi ni ya siri yanawahusu familia ya kifalme tu. Haya ya kwako umeyatoa wapi.BToZ
Wazungu hawana hizo MbangaTunashukuru tumezika salama, bado kuvunja Tanga. Turudi makwetu
RIPWazungu hawana hizo Mbanga