Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Sidhani kama kunanchi karibuni imepokea viongozi wa nchi wengi kiasi hiki...hapo Osama huko kuzimu anatamani angepiga tukio hiyo mitaa hiyosiku
 
Cheki mheshimiwa no 41, kuiwakilisha JF

1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Prof. Azali Assoumabi - Rais Comoros
14. Dr. Mokgweetsi Masisi - Rai's wa Botswana,
15. Salman bin Abdul Aziz Al Saud - Mfalme wa Saudi Arabia,
16. Hamad bin ISA Al Khalifa - Mfalme wa Bahrain,
17. Ramin bin Hamad Al Thank - Mtawala wa Qatar,
18. Ukhnaagiin Khurelsukh - Rais wa Mongolia,
19. Shavkat Mirziyoyev - Rais wa Uzbekistan,
20. Emomali Rahmon - Rais wa Tajikistan,
21. Volodymyr Zelensky - Rais wa Ukraine,
22. Milorad Sefik Dzaferovic - Rais wa Bosnia and Herzegovina,
23. Paula-Mae Weekes - Rais wa Trinidad and Tobago,
24. Hakainde Hichilema -Rais wa Zambia,
25. Dr Hage G. Geingob - Rais wa Namibia,

26. Evariste Ndishimiye - Rais wa Burundi,
27. Hair Bolsonaro- Rais wa Brazil,
30. Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah - Emir wa Kuwait,
31. Andres Manuel Lopez Obrador - Rais wa Mexico,
32. Ali Bongo Ondimba - Rais wa Gabon,
33. Faure Essozimba Gnassingbe Eyadema - Rais wa Togo,
34. George Weah - Rais wa Liberia,
35. Julius Maada Bio - Rais wa Sierra Leone,
36. Nana Addo Dankwa Akufo-Addo - Rais wa Ghana,
37. Moeketsi Major - Waziri Mkuu wa Lesotho,
38. Hun Sen - Waziri Mkuu wa Cambodia,
39. Cyril Ramaphosa - Rais wa Afrika Kusini,
40. Antony Albanese - Waziri Mkuu wa Australia,

41. Hon Masopakyindi- Member wa JF
 
Huyo Paul Biya hata kutembea ni shida. Hawezi kwenda kuzika. Ila hii ni hatari sana kwa usalama. Ingawa najua security hapo ni ya nguvu. Halafu hii ya kupakiza viongozi kwenye bus Biden na Macron wamekataa. So Biden atatumia limozine lake kwenda hapo kwenye funerals.
 
Hapo kwa TZ kufanya sherehe hapana. Ila hata mi nawaza maraisi wote hao kukutana sehemu moja kwa wakati mmoja? inabidi ulinzi uwe wa aina yake, maana akitokea kichaa mmoja hapo, si dunia itasimama!
Yaani itasimama. Sema wapinzani watafurahia chaguzi mpyaaa. Mtu kama Trump atafurahi maana Kamara atakuwa Rais so mseleleko kwa Trump 2024.
 
Viongozi wa Afrika ni ng’ombe kweli. Hapo akifa rais wa nchi ya kiafrika wanajitokeza watatu au wawili kumzika ila kwa mzungu, tena aliyeshiriki kuuwa watu wetu eti wanajaziana huko kwenda kumzika.

Kujikomba kutatumaliza sisi na ndiyo maana wazungu wanatudharau na kutuona mangedere.
 
Viongozi wa Afrika ni ng’ombe kweli. Hapo akifa rais wa nchi ya kiafrika wanajitokeza watatu au wawili kumzika ila kwa mzungu, tena aliyeshiriki kuuwa watu wetu eti wanajaziana huko kwenda kumzika.

Kujikomba kutatumaliza sisi na ndiyo maana wazungu wanatudharau na kutuona mangedere.
Kagame hakuja kuzika Magu. Ila kwa Malkia kaenda.
 
wanamzika au wanaaga tu coffin? si ajabu maziko yake yakawa kama ya Diana ambapo hata media hazikuona process ya kushusha coffin kaburini
 
Back
Top Bottom