Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

SSH ni mwanamke na muslim,sidhani kama atahudhuria mazishi!
Huenda akatuma mwakilishi,probably Mzee Kikwete! Au Rais wa SMZ.
Anyway ni mawazo yangu.
Kuhudhuria mazishi ya viongozi kama hao nijuavyo huwa haihusishi kwenda makaburini kuzika , sidhani kama kuna shida yoyote katika imani ya Mheshimiwa SSH kuhudhuria hafla hiyo.
 
AFRIKA HOYAHOYA SANA.
IMG-20220909-WA0328.jpg
 
Kuhudhuria mazishi ya viongozi kama hao nijuavyo huwa haihusishi kwenda makaburini kuzika , sidhani kama kuna shida yoyote katika imani ya Mheshimiwa SSH kuhudhuria hafla hiyo.
Mwigulu Nchemba ndiye atamuwakilisha baada ya kupata "umaarufu mkubwa" kwa jinsi alivyo komaa katika kuwakamua Raia bila aibu wala huruma
 
1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Prof. Azali Assoumabi - Rais Comoos
14. Dr. Mokgweetsi Masisi - Rai's wa Botswana,
15. Salman bin Abdul Aziz Al Saud - Mfalme wa Saudi Arabia,
16. Hamad bin ISA Al Khalifa - Mfalme wa Bahrain,
17. Ramin bin Hamad Al Thank - Mtawala wa Qatar,
18. Ukhnaagiin Khurelsukh - Rais wa Mongolia,
19. Shavkat Mirziyoyev - Rais wa Uzbekistan,
20. Emomali Rahmon - Rais wa Tajikistan,
21. Volodymyr Zelensky - Rais wa Ukraine,
22. Milorad Sefik Dzaferovic - Rais wa Bosnia and Herzegovina,
23. Paula-Mae Weekes - Rais wa Trinidad and Tobago,
24. Hakainde Hichilema -Rais wa Zambia,
25. Dr Hage G. Geingob - Rais wa Namibia,

26. Evariste Ndishimiye - Rais wa Burundi,
Hii haisaidii chochote kama kaenda Jehanamu!
 
Back
Top Bottom