Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.

Nchi zenye mfumo wa kibepari [emoji3062]
 
Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Wameigomea Tz ukiona hivyo wanajielewa
 
1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Katibu Mwenezi,
Hii orodha ni feki ikiwa mzee wa Msoga hayupo ktk list
 
Kwa hiyo baada ya kifo chake, mwili wake umegeuka kuwa ni mzoga tu kama mizoga mingine.
Utajiri na umaarufu ni ubatili mtupu, matajiri na watu maarufu wanakufa kama anavyo kufa matonya na chakubanga, wote huyarudia mavumbi wakiwa hawana lolote.
 
Back
Top Bottom