Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Kwa wakenya wana haki ya kujiona hivyo, kwani ni mambo mengi wanafanya kama wazungu(AKILI KUBWAZ)ambayo kwa wafrika wengi hatuyawezi!!ndio maana hata rais wao anakuwa simple tu kwa wananchi wake, tofauti na nchi zote za kiafrika!!mwananchi yupo huru kuikosoa serikali , kwani anajua katiba ina mlinda, na mahakama ipo huru.ki ukweli KENYA ipo level nyingine kabisa na mi nchi yote ya kiafrika.Na hicho ndicho kinapelekea TZ, kuwaogopa sana kwenye EAC, japo uoga huo hauwezi kutusaidia sana.
 
Uliposema inazidi nchi zote za Afrika ndipo nilipokuoba wakuja
 
Uliposema inazidi nchi zote za Afrika ndipo nilipokuoba wakuja
Mkuu siku zote kumchukia aliyekuzidi, hakukufanyi uwe sawa naye!!!ungekuwa una uhakika na unachokisema ungetaja na hizo nchi, ili kujenga hoja yako.Wao toka miaka hiyo walishajengewa akili ya udadisi, wakati wewe unajengewa akili za uoga na za roho mbaya, ya kumuona aliyekuzidi uwezo ndio adui yako, na ukiwa mdadisi ni hatari!!Nenda vyuo vikuu huko utakuta wakenya wengi ndio wanafundisha kiswahili, nyie leo ndio mnashituka!!!
Kwa Afrika, MIKENYA, NA MI NIGERIA, haikutakiwa kabisa kuwa bara hili la giza.
 
1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
Viongozi wa Afrika ni kama wanajipendekeza! Maana hata hao wazungu wenye msiba wao viongozi wao ni wachache.

Anyway kisiwandui finest haendi?
 
Back
Top Bottom