Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Dr.Miguna Miguna atasoma risala fupi msibani itakayoandaliwa na AU kwaajili ya kutambua mchango wa bibi Eliza kwenye uhuru wa nchi za Africa.
 
1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Katibu Mwenezi,
14. Tozo Queens Mkojani
 
1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Katibu Mwenezi,
Hangaya Ametangaza Maombolezo siku mingiiii Kwa msibabambao hata wafiwa hawamjui
 
Rwanda anamsaidia kupunguza wakimbizi
Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Halafu Rwanda walirukia commonwealth yetu wakati wao ni watoto wa Macro ,soon watatuovertake
 
Back
Top Bottom