Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

wanamzika au wanaaga tu coffin? si ajabu maziko yake yakawa kama ya Diana ambapo hata media hazikuona process ya kushusha coffin kaburini
Hao UK Royal family hawazikwi kama kawaida onavyo jua mtu anaingizwa kwenye kaburi so called nyumba yako ya milele kwao ni tofauti imetengenezwa sehemu maaulumu St George Chapel chini huko kwa ajili ya wao kuzikwa lkn sio kama kaburi NO ni sehemu maalum kwa ajili yawao kukaa huko.

Mfano mume wa QUEEN liz watamtowa huko alipo wekwa watamuweka beside Mke wk QUEEN ELIZABETH
Lugha rahis wanawekwa kwenye makabati ni kiasi cha kumtoa sehemu moja kumpeleka sehemu nyingine.
 
Inasaidia nn?
 
it is a vault. watakaa huko kwa muda kisha watamzika rasmi baadaye...haijulikani. ni wachache tu hata katika familia yao wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…