Viongozi mmeshachuma vya kutosha achieni ofisi, vijana mkajifunze kwa Ally Hapi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini.

Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania wao wataweza? Tuweni na huruma tuwaachie viti vijana sisi tukajiajiri.

Kiongozi wetu Ally Hapi ni wakuigwa sana, anatuonyesha mfano bora vijana maisha halisi ya Mtanzania. Kuna mwingine akiondolewa kazini akili ya kuanzisha mradi wake hana. Mwisho anabaki kuwa chawa ili arudishwe kazini.

Viongozi mmeshachuma vyakutosha achieni ofisi vijana mkajifunze kwa Ally Happy

Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira.

Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini.

Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi watanzania wao wataweza.

Tuweni na huruma tuwaachie viti vijana sisi tukajiajiri.

Kiongozi wetu Ally Happy ni wakuigwa sana anatuonyesha mfano bora vijana maisha halisi ya mtanzania.

Kuna mwingine akiondolewa kazini akili ya kuanzisha mradi wake hana. Mwisho anabaki kuwa chawa ili arudishwe kazini.

Huu ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wasiopenda kuachia ofisi kwa kushindwa kujiajiri. Hebu fikiri hichi anachokifanya Mh. Ally anaajiri vijana wangapi.

This is more than thanksgiving to the community.

Wengine wameweka hadi mizizi ofisini hawataki kuachia ofisi.

Kwa mtindo huo hatuwezi kufika. Kujiajiri sio adhabu.

Watu walio jiajiri ndio matajiri hapa Tanzania na ndio wanaongoza kulipa kodi na ndio serikali inawategemea kwa asilimia mia moja.

Hivyo viongozi wangu tuondokane na mentality ya kwamba kujiajiri ni adhabu. Tufanye kazi zetu za ajira kama wito wa kulisaidia taifa letu lakini muda ukifika tuachie viti tuwaachie wengine wafanye kazi.

Kukaa muda mrefu ofisini ufanisi unapungua na ndio maana mambo hayasongi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wasomaji wa andiko hili. Na kusema jiajiri ili huko mbeleni uwaajiri wanao kwasababu connection zina mwisho.

Inashangaza sana unakutana na mstaafu hanasema kwasasa nimeshastaafu sina connection kibisa ndugu zangu wengi waliosoma wapo nyumbani tu hata pakujishikiza hamna.

Mtu kaajiriwa miaka 50 hata mradi wakusema awaajiri watoto wake hana.

Tujifunze kwa Mo Dewji jinsi anavyoisimamia familia yake. Huwezi kuta ndugu wa Mo anasema niweke serikilini kaka au baba.

Sio hivyo tu tujifunze kwa Rostam, alifanya kazi serikalini. Akatosheka akajiajiri jimbo akaachia wengine. Now he is dealing with his projects.

Mwingine anashika jimbo miaka yote.
Screenshot_20221125_090116.jpg
Screenshot_20221125_090129.jpg
Screenshot_20221125_090217.jpg
 
Akili zako ndogo sana ila unapenda uonekane smart.
 
Nje ya mada, shamba la bwana Happy lipo sehemu gani, yaani mkoa au wilaya...incase tunataka kwenda kujifunza.
Sijajua lipo sehemu gani boss. Ila tunachotaka ni hao wenye mitaji ya mfukoni wapate kujifunza kutoka kwa kiongozi wetu.
Nina hakika kama viongozi wetu wangekua wanawekeza kwenye miradi kama hiyo hili taifa lingefika mbali sana. 😀😀😀😀😀😀😀
 
Tunakuona Hapi ukiwananga wazee!

Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini.

Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania wao wataweza? Tuweni na huruma tuwaachie viti vijana sisi tukajiajiri.

Kiongozi wetu Ally Hapi ni wakuigwa sana, anatuonyesha mfano bora vijana maisha halisi ya Mtanzania. Kuna mwingine akiondolewa kazini akili ya kuanzisha mradi wake hana. Mwisho anabaki kuwa chawa ili arudishwe kazini.
 
Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini.

Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania wao wataweza? Tuweni na huruma tuwaachie viti vijana sisi tukajiajiri.

Kiongozi wetu Ally Hapi ni wakuigwa sana, anatuonyesha mfano bora vijana maisha halisi ya Mtanzania. Kuna mwingine akiondolewa kazini akili ya kuanzisha mradi wake hana. Mwisho anabaki kuwa chawa ili arudishwe kazini.
Kwa sababu mara nyingi wanakuwa wamechuma kwa njia ambazo haikuwa halali yao basi maisha yao yote huwa hawapati peace of mind !! Ndio maana huwa kila walichokichuma huwa wanaona hakitoshi !!
 
Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini.

Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania wao wataweza? Tuweni na huruma tuwaachie viti vijana sisi tukajiajiri.

Kiongozi wetu Ally Hapi ni wakuigwa sana, anatuonyesha mfano bora vijana maisha halisi ya Mtanzania. Kuna mwingine akiondolewa kazini akili ya kuanzisha mradi wake hana. Mwisho anabaki kuwa chawa ili arudishwe kazini.
Mwenye miaka 50 ofisini ameanza ajira akiwa na miaka mingapi?
 
Hongera zake,maana Mimi nilipita tu sokoni wanapouza pilipili napiga chafya za ajabu kabisa Sasa kilimo Cha pilipili🤔
 
Back
Top Bottom