HiDEmYiD
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,893
- 3,640
Kaachia au kapigwa chini...Huyu ndio kiongozi anayejitambua, yupo busy na shughuli zake baada ya kuitumikia serikali na kuachia wengine kwa kipindi hichi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaachia au kapigwa chini...Huyu ndio kiongozi anayejitambua, yupo busy na shughuli zake baada ya kuitumikia serikali na kuachia wengine kwa kipindi hichi.
Huyu chawa wa hapi katumwa......hapi alikuwa mkuu wa mkoa mara rais wa mchongo kamuweka pembeni sasa aigwe kwa lipi.Unazijua vii-eite wewe? (In Harakaharaka's voice [emoji1787][emoji1787])
Na diabetes je? Na ndugu yake anaitwa Cardiovascular heart diseases !! Hii dunia ukiifikiria sana ni bora ukawa mtu wa kutenda mema tu kwa binadamu wenzako na hata kwa viumbe wengine !! Kwa maana This world is not our home !!!Unazijua vii-eite wewe? (In Harakaharaka's voice 🤣🤣)