HiDEmYiD JF-Expert Member Joined Mar 14, 2018 Posts 1,893 Reaction score 3,640 Nov 25, 2022 #21 Meneja Wa Makampuni said: Huyu ndio kiongozi anayejitambua, yupo busy na shughuli zake baada ya kuitumikia serikali na kuachia wengine kwa kipindi hichi. Click to expand... Kaachia au kapigwa chini...
Meneja Wa Makampuni said: Huyu ndio kiongozi anayejitambua, yupo busy na shughuli zake baada ya kuitumikia serikali na kuachia wengine kwa kipindi hichi. Click to expand... Kaachia au kapigwa chini...
HiDEmYiD JF-Expert Member Joined Mar 14, 2018 Posts 1,893 Reaction score 3,640 Nov 25, 2022 #22 Bangida said: Unazijua vii-eite wewe? (In Harakaharaka's voice [emoji1787][emoji1787]) Click to expand... Huyu chawa wa hapi katumwa......hapi alikuwa mkuu wa mkoa mara rais wa mchongo kamuweka pembeni sasa aigwe kwa lipi.
Bangida said: Unazijua vii-eite wewe? (In Harakaharaka's voice [emoji1787][emoji1787]) Click to expand... Huyu chawa wa hapi katumwa......hapi alikuwa mkuu wa mkoa mara rais wa mchongo kamuweka pembeni sasa aigwe kwa lipi.
mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,916 Reaction score 8,630 Nov 25, 2022 #23 Bangida said: Unazijua vii-eite wewe? (In Harakaharaka's voice 🤣🤣) Click to expand... Na diabetes je? Na ndugu yake anaitwa Cardiovascular heart diseases !! Hii dunia ukiifikiria sana ni bora ukawa mtu wa kutenda mema tu kwa binadamu wenzako na hata kwa viumbe wengine !! Kwa maana This world is not our home !!!
Bangida said: Unazijua vii-eite wewe? (In Harakaharaka's voice 🤣🤣) Click to expand... Na diabetes je? Na ndugu yake anaitwa Cardiovascular heart diseases !! Hii dunia ukiifikiria sana ni bora ukawa mtu wa kutenda mema tu kwa binadamu wenzako na hata kwa viumbe wengine !! Kwa maana This world is not our home !!!