Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Labda kuna sababu zilizopelekea mfumuko wa bei na nimeona sio TZ peke yetu,corona inaweza kuwa sababu but siko sure.Nilinunua mafuta ya kupikia mwezi januari lita kumi kwa shilingi 52,000/=. Jana naenda kununua mengine naambiwa ni 65,000/=. Halafu tunaambiwa JPM alikuwa mtetezi wa wanyonge. Hivi kuna mnyonge anayemudu kununua mafuta ya kupikia kwa bei ya 6500 kwa lita?
Ndiyo maana wanasema Tanzania ni Nchi Tajiri.Labda kuna sababu zilizopelekea mfumuko wa bei na nimeona sio TZ peke yetu,corona inaweza kuwa sababu but siko sure.
Mkuu mafuta ya alizeti yanakamuliwa hapo Igunga, alizeti inalimwa hapo hapo....tunanunua lita tano sasa hivi kwa shilingi 28000/= KahamaLabda kuna sababu zilizopelekea mfumuko wa bei na nimeona sio TZ peke yetu,corona inaweza kuwa sababu but siko sure.
Daah poleni sana,mama ni mchumi mzuri hope ataweka mambo sawa.Mkuu mafuta ya alizeti yanakamuliwa hapo Igunga, alizeti inalimwa hapo hapo....tunanunua lita tano sasa hivi kwa shilingi 28000/= Kahama
Dar sijui utakuwa shilingi ngapi?..
Bado Mb tunaambiwa tunaendelea na vifurushi vile kumbe ni kipigo cha hatari kinaendelea.
Vipi huko bei ni nafuu kiasi nini?Daah poleni sana,mama ni mchumi mzuri hope ataweka mambo sawa.
Vipi labda kuhusu gharama za uendeshaji?
Am sure wana strong reason na watatupa maelezo.
Mkuu mafuta ya alizeti yanakamuliwa hapo Igunga, alizeti inalimwa hapo hapo....tunanunua lita tano sasa hivi kwa shilingi 28000/= Kahama
Dar sijui utakuwa shilingi ngapi?..
Bado Mb tunaambiwa tunaendelea na vifurushi vile kumbe ni kipigo cha hatari kinaendelea.
Mafuta bei juu,bundle ndio usiseme.Vipi huko bei ni nafuu kiasi nini?
Afadhali tunapeana ushauri wenyewe kuliko kusikiliza matamko yanayotoa matumaini huku uhalisia ukiwa tofauti kabisa na kilichotamkwa.Mafuta bei juu,bundle ndio usiseme.
Ukiwa mjanja bora uweke internet home ulipie monthly.
Ni pocket friendly,tafuta kampuni uunganishiwe,siku hizi ziko hadi unatembea nayo we unaconnect wifi tu.
Kwani waliosemea malalamiko ya Wananchi juu ya bei za vifurushi ni akina nani? Na waliotoa matamko ni akina nani?..Ni viongozi gani wanahusika na upangaji wa bei za bidhaa?
Hakuna, watayaacha huko dukani mpaka expire yatupwe.Nilinunua mafuta ya kupikia mwezi januari lita kumi kwa shilingi 52,000/=. Jana naenda kununua mengine naambiwa ni 65,000/=. Halafu tunaambiwa JPM alikuwa mtetezi wa wanyonge. Hivi kuna mnyonge anayemudu kununua mafuta ya kupikia kwa bei ya 6500 kwa lita?