Ukinunua kifurushi cha mwezi haraka haraka hata wiki 3 hazifiki, nunua cha wiki napo unabaniwa mara network igome zina baki MB kibao wiki imepita hiyo, inchi sijui tulirogewa wapi na mchawi yupi labda tungemjua tuanze naye, kabla mtu hajawa kiongozi anayo yaongea duu utasema hapa tumepata subili aingie jikoni uwiii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] tunalewa mabuja mabuja tu