REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka kwaiyo hata wazazi nao watawaunga mkono, wanafunzi vyuoni watwaunga mkono
Tunajua mna mabomu mna vituo vya polisi ila kumbukeni hawa vijana washavulugwa mtafunga wangapi, mtateka wangapi, mtauwa wangapi
Nadhani ule utabiri wa hayati shekhe Yahaya unaenda tìmia ni suala la muda tu